08/09/2023
Karibu hapa:
**CHUO CHA COLLEGE OF YOUTH EDUCATION IN TANZANIA-CoYETa*
*NACTVET
Reg.BTP/007
*VETA
Reg. VET/MZA/FR/2020/C/094
*BASATA
Reg: BST/5109
📍Mkoani MWANZA wilaya ya Nyamagana ```(zaidi ya miaka 16 Katika kutoa Mafunzo) Tupo ndani JENGO LA VIJANA Mlango mmoja.```
*KOZI TUNAZOTOA NA VIGEZO*
♦️PROCUREMENT & SUPPLY(Diploma miaka 3 )
♣️ Tsh.1,203,000/= hosteli bure.
👉 Uwe na Ufaulu wa D nne isipokuwa masomo ya dini.
♦️BUSINESS ADMINISTRATION ( Diploma miaka 3)
♣️Tsh. 1,203,000/= hosteli bure.
👉Uwe na Ufaulu wa D nne isipokuwa masomo ya dini.
♦️ ACCOUNTANCY
( Diploma miaka 3)
♣️Tsh 1,203,000 hostel bure.
👉 Uwe na Ufaulu wa D nne ikiwemo D ya hesabu isipokuwa masomo ya dini.
🔬LABORATORY ASSISTANT
(Miaka 3)
♣️ Tsh. 1,203,000/= hostel bure
👉 Uwe na Ufaulu wa D moja na kuendelea.
♦️SECRETARIAL (Miaka 3)
♣️Tsh.1,203,000 hostel bure
👉 Uwe na Ufaulu wa D tatu ikiwemo D ya kingereza isipokuwa masomo ya dini.
♦️ TOURISM, AIRLINE & HOTEL MANAGEMENT (Mwaka 1)
♣️Tsh. 1,053,000/= hostel bure
👉 Kuanzia D moja na kuendelea.
KOZI ZA MUDA MFUPI (Miezi 3-6)
🗣️ Computer Application
🗣️ Video production
🗣️ Graphics & Design
🗣️Ususi na mapambo
🗣️ Mapishi
🗣️ Lugha za kimataifa
🗣️ Computer Maintenance
✍️NAFASI ZA KUJIENDELEZA (KUHAMIA)ZIPO KATIKA KOZI ZOTE
🔥ADA INALIPWA KWA AWAMU NNE
TUPIGIE 0623820281