Kisesa Training and Research Institute

Kisesa Training and Research Institute Kisesa training and research Institute for life

27/01/2024

Kwa Vijana, wazazi, walezi Woote!!

09/01/2024
08/01/2024

Usichelewe Tunajifunza kwa Vitendo zaidi. Ufaulu wetu niwakiwango cha Juu saana. Tupo kwa ajili ya kukufanya ufikie malengo yako. Tujaribu tukufurahishe

Piga simu
0655628661
0621258661

Mazingira yetu yanautulivu wa kutosha, nikijani iliyo Korea,. Usihangaike kumpeleka kijana wako kwingine ambako atatesek...
08/01/2024

Mazingira yetu yanautulivu wa kutosha, nikijani iliyo Korea,. Usihangaike kumpeleka kijana wako kwingine ambako atateseka

08/01/2024
TUNATHAMINI ADA YAKO, NDIYO MAANA TUNAJITAHIDI KUKUFUNDISHA NA KUKUPATIA NETWORK NZURI YA KAZI. NIMUHURA MPYA WA MASOMO ...
08/01/2024

TUNATHAMINI ADA YAKO, NDIYO MAANA TUNAJITAHIDI KUKUFUNDISHA NA KUKUPATIA NETWORK NZURI YA KAZI.

NIMUHURA MPYA WA MASOMO SASA UMEANZA, USICHO KIJUA NIKWAMBA TUMEANZA KUFUNDISHA LEVEL III SASA.

INDUSTRIAL TRAINING KWA MAFUNDI WAZOEFU.

FANI YA
1.UMEME WA VIWANDANI NA MAJUMBANI
2.HOSPITALITY
3.PLUMBING, (UFUNDI BOMBA).

MLETE MWANAO, MDOGO WAKO, NJOO WEWE MWENYEWE KWANI UJUZI NI AKIBA.

08/01/2024

KISESA TRAINING AND RESEARCH INSTITUTE.

Nichuo kilicho sajiliwa na NACTVET kwa usajili namba (NACTVET/0603)
(IAE/0S/0551)

Sasa kinatoa Mafunzo ya fani zifuatazo kwa muda mrefu.

1.Umeme wa Majumbani Level I-III
2.Hospitaliy Level I-III
3.Ufundi bomba level I-III

Lakini pia tunatoa fani za muda mfupi kuanzia miezi mitatu Hadi Sita.

1.Umeme wa Majumbani
2.Umeme wa Magari
3.Ushonaji
4.Uungaji vyuma
5.Hotel na utalii
6.Computer Application
7.CCTV Camera with Networking.
8.Electrical Fance.
9.Mapambo.

Ada ni nafuu saana na unaweza kulipa kwa awamu awamu.

Chuo kipo Kisesa Wilaya ya Magu, Mkoa wa MWANZA.

0767802046
Mkuu wa chuo.

0621258661
0755995491
Mratibu wa Mafunzo.

Masomo yanaendelea!! Mlete kijana wako apate elimu,!!
09/01/2023

Masomo yanaendelea!! Mlete kijana wako apate elimu,!!

Michezo ni Jadi yetu.Tunaendelea kukuza vipaji vya Vijana kupitia Michezo.
09/01/2023

Michezo ni Jadi yetu.Tunaendelea kukuza vipaji vya Vijana kupitia Michezo.

Address

Mwanza
BOX2326

Telephone

+255655628661

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kisesa Training and Research Institute posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category