Icild-Mwanza Centre

Icild-Mwanza Centre International Centre for Intercultural relations Language and Development

02/11/2022
14/09/2022
14/09/2022

Icild also offers Online Training Session contacts +255 754 664 933
+255 784 664 933.Isamilo,near MAJI HOUSE,Medical Street /www.icild-mwanza.org

Exchange Program between German and Tanzania.Kituo cha Kimataifa cha Lugha, Utamaduni na Maendeleo (ICILD), Isamilo Mwan...
14/09/2022

Exchange Program between German and Tanzania.
Kituo cha Kimataifa cha Lugha, Utamaduni na Maendeleo (ICILD), Isamilo Mwanza
International Centre for Intercultural-Relations Languages and Development
Kutokana na Lugha ya Kiswahili kupendwa sana Duniani kote,na isitoshe jumuia ya Africa mashariki imependekeza kuwa ni lugha ambayo inayowaunganisha waafrika. ICILD kwa muda mrefu tumekuwa na Exchange Programs baina ya Inchi mbili Ujerumani na Tanzania, hivi karibuni tumetembelewa na ugeni kwa ajili ya programu za kubadilishana,baadhi ya wanafunzi kutoka Ujerumani kuja katika centre yetu ya ICILD-Mwanza kwa mwaka mmoja, na wanafunzi wetu ambao tayari tumeshawafundisha lugha ya kijerumani,mila pamoja na tamaduni zao kwenda Ujerumani kwa mwaka mmoja kupitia programu hii ya kubadilishana.
Jambo hili si dogo…Pongezi kwa Centre ya ICILD kwa kuweza kufanikisha huduma hii ya Exchange Programs inayoendelea hivi sasa,na pongezi kwa nchi ya Ujerumani kwa haya Mahusiano mazuri
Karibuni sana Wageni na Wenyeji ambao walikua hawaijui ICILD
Tunapatikana: Isamilo,jirani na MAJI HOUSE,mtaa wa Medical Street/Mwanza,Tanzania
+255 754 664 933/+255 784 664 933, www.icild-mwanza.org

Wahi offer hii...jifunze professional courses kati ya hizo hapo ndani ya mwezi mmoja tu uweze jiajiri au uajiliwe,ni koz...
17/08/2022

Wahi offer hii...jifunze professional courses kati ya hizo hapo ndani ya mwezi mmoja tu uweze jiajiri au uajiliwe,ni kozi ambazo waajili wengi wa Makampuni,Groups au Organizations wanatafuta watu wenye skills hizo hapo.tuna instructors wenye uzoefu wenye uwezo wa kukupa kile unachotakiwa kukipata kwa wakati in affordable price na kuweza kukusaidia kupata ajira...WAHI SASA USICHELEWE tuanapatikana/Isamilo,near MAJI HOUSE,medical street,Mwanza-Tanzania

17/08/2022

Dr.Magoke train Icild Germany Students how to sing the praise Swahili Church hymnal....Karibu Icild the Only Centre in Tanzania that teaches more than 15 languages and Culture +255 754 664 933

Icild Calendar
15/08/2022

Icild Calendar

Address

Isamilo
Mwanza

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Icild-Mwanza Centre posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The School

Send a message to Icild-Mwanza Centre:

Shortcuts

Share