MacWish College of Health and Allied Sciences

MacWish College of Health and Allied Sciences Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from MacWish College of Health and Allied Sciences, College & University, Nyashishi, Mwanza.

We are a health-promoting college that is committed to invest in human and specialized medical technologies to produce the best experts and solutions to various local and global health and medical problems.

23/04/2026

Karibu Chuo cha Afya Mahali Ambapo Mazingira Bora Yanazaa Mafanikio na kutimiza Ndoto.

Unatafuta chuo chenye mazingira safi, tulivu na yenye kuvutia kwa kujifunza?
Chuo cha afya ndiyo chaguo sahihi kwako

✨ Mandhari nzuri
✨ Hewa safi na tulivu
✨ Mazingira rafiki kwa kujisomea
✨ Walimu wa kutosha wenye uzoefu.
✨ Ada Nafuu

1. 𝐃𝐢𝐚𝐠𝐧𝐨𝐬𝐭𝐢𝐜 𝐑𝐚𝐝𝐢𝐨𝐠𝐫𝐚𝐩𝐡𝐲 kwa ada ya 1.6M ( unapata Mkopo 100%) Vigezo ni D 5 ikiwemo Physics,Chemistry,Biology,B/Maths na English

2. 𝐂𝐥𝐢𝐧𝐢𝐜𝐚𝐥 𝐌𝐞𝐝𝐢𝐜𝐢𝐧𝐞 kwa ada ya 1.6M Vigezo ni D nne ikiwemo Physics,Chemistry na Biology 𝐧𝐚

3. 𝐏𝐡𝐚𝐫𝐦𝐚𝐜𝐞𝐮𝐭𝐢𝐜𝐚𝐥 𝐒𝐜𝐢𝐞𝐧𝐜𝐞𝐬 kwa ada ya 1.4M, Vigezo ni D nne ikiwemo Chemistry na Biology.

Ada zote zinalipwa kwa awamu, na hosteli ni bure

Kwa ajili ya kujiunga na chuo tupigie;
+255 785 029 817
+255 767 302 894
+255 785 026 582
+255 681 501 630

Apply kwenye tovuti yetu;
www.macwish.ac.tz

22/04/2026

Dirisha la kuhamia kujiunga na Chuo cha afya Limefunguliwa.

K**a unatafuta chuo chenye ubora wa elimu, mazingira bora ya kujifunzia na maandalizi ya kazi za afya, basi Macwish ndiyo chaguo sahihi kwako.

1. 𝐃𝐢𝐚𝐠𝐧𝐨𝐬𝐭𝐢𝐜 𝐑𝐚𝐝𝐢𝐨𝐠𝐫𝐚𝐩𝐡𝐲 kwa ada ya 1.6M ( unapata Mkopo 100%) Vigezo ni D 5 ikiwemo Physics,Chemistry,Biology,B/Maths na English

2. 𝐂𝐥𝐢𝐧𝐢𝐜𝐚𝐥 𝐌𝐞𝐝𝐢𝐜𝐢𝐧𝐞 kwa ada ya 1.6M Vigezo ni D nne ikiwemo Physics,Chemistry na Biology 𝐧𝐚

3. 𝐏𝐡𝐚𝐫𝐦𝐚𝐜𝐞𝐮𝐭𝐢𝐜𝐚𝐥 𝐒𝐜𝐢𝐞𝐧𝐜𝐞𝐬 kwa ada ya 1.4M, Vigezo ni D nne ikiwemo Chemistry na Biology.

Ada zote zinalipwa kwa awamu, na hosteli ni bure

Kwa ajili ya kujiunga na chuo tupigie;
+255 785 029 817
+255 767 302 894
+255 785 026 582
+255 681 501 630

Apply kwenye tovuti yetu;
www.macwish.ac.tz

Muda wako wa kujiunga na The Global Centre of Health Experts ni Sasa. Na Kozi zetu ni zifuatazo;1. 𝐃𝐢𝐚𝐠𝐧𝐨𝐬𝐭𝐢𝐜 𝐑𝐚𝐝𝐢𝐨𝐠𝐫𝐚𝐩𝐡...
20/04/2026

Muda wako wa kujiunga na The Global Centre of Health Experts ni Sasa. Na Kozi zetu ni zifuatazo;

1. 𝐃𝐢𝐚𝐠𝐧𝐨𝐬𝐭𝐢𝐜 𝐑𝐚𝐝𝐢𝐨𝐠𝐫𝐚𝐩𝐡𝐲 kwa ada ya 1.6M ( Mkopo 100%)
2. 𝐂𝐥𝐢𝐧𝐢𝐜𝐚𝐥 𝐌𝐞𝐝𝐢𝐜𝐢𝐧𝐞 kwa ada ya 1.6M 𝐧𝐚
3. 𝐏𝐡𝐚𝐫𝐦𝐚𝐜𝐞𝐮𝐭𝐢𝐜𝐚𝐥 𝐒𝐜𝐢𝐞𝐧𝐜𝐞𝐬 kwa ada ya 1.4M

Ada zote zinalipwa kwa awamu, na hosteli ni bure

Kwa ajili ya kujiunga na chuo tupigie;
+255 785 029 817
+255 767 302 894
+255 785 026 582

Au tembelea tovuti yetu;
www.macwish.ac.tz

📍Tupo Nyashishi Jijini Mwanza

Karibu nyumbani Sehemu ya  ndoto zako.MacWish Nyashishi, Mwanza ni mahali sahihi pa kuanza safari yako ya mafanikio na k...
16/04/2026

Karibu nyumbani Sehemu ya ndoto zako.

MacWish Nyashishi, Mwanza ni mahali sahihi pa kuanza safari yako ya mafanikio na kujenga kesho yako bora

Usisubiri Sana, Fanya Maamuzi Sasa, Jiunge nasi leo kwa taaluma ya Afya kwa Kozi za

1. 𝐃𝐢𝐚𝐠𝐧𝐨𝐬𝐭𝐢𝐜 𝐑𝐚𝐝𝐢𝐨𝐠𝐫𝐚𝐩𝐡𝐲
kwa ada ya 1.6M ( unapata Mkopo 100%)
Vigezo ni D 5 ikiwemo
Physics, Chemistry, Biology, B/Maths na English

2. 𝐂𝐥𝐢𝐧𝐢𝐜𝐚𝐥 𝐌𝐞𝐝𝐢𝐜𝐢𝐧𝐞
kwa ada ya 1.6M
Vigezo ni D nne ikiwemo Physics, Chemistry na Biology

3. 𝐏𝐡𝐚𝐫𝐦𝐚𝐜𝐞𝐮𝐭𝐢𝐜𝐚𝐥 𝐒𝐜𝐢𝐞𝐧𝐜𝐞𝐬
kwa ada ya 1.4M,
Vigezo ni D nne ikiwemo Chemistry na Biology.

Ada zote zinalipwa kwa awamu, na hosteli ni bure

✔️ Ada nafuu
✔️ Hostel bure
✔️ Mazingira rafiki ya kujifunzia
✔️ Kozi zenye soko la ajira

Wasiliana nasi kupata maelezo zaidi

+255 785 029 817
+255 767 302 894
+255 785 026 582
+255 681 501 630

Apply kwenye tovuti yetu; www.macwish.ac.tz

Asanteni sana  kwa kutembelea  leo katika msimu wa 8, na kutumia muda wenu kuzungumza na wanafunzi wetu. Uwepo wenu umel...
16/04/2026

Asanteni sana kwa kutembelea leo katika msimu wa 8, na kutumia muda wenu kuzungumza na wanafunzi wetu. Uwepo wenu umeleta hamasa kubwa, umefungua mawazo ya wengi na kuwapa motisha ya kuendelea kupambana kufikia ndoto zao.

Ni fahari kubwa kwetu kuwa sehemu ya msimu huu wa 8, ambao unaendelea kugusa na kubadilisha maisha ya vijana wengi kupitia elimu na Talent walizo nazo . Tunathamini sana mchango wenu na ujumbe mlioacha kwa wanafunzi wetu.

Furaha  ya wanafunzi wetu wa  imeongezeka zaidi baada ya ujio wa  (Msimu wa 8)  kufika chuoni kwetu.Mbali na ziara ya  w...
16/04/2026

Furaha ya wanafunzi wetu wa imeongezeka zaidi baada ya ujio wa (Msimu wa 8) kufika chuoni kwetu.

Mbali na ziara ya wanafunzi wetu walishiriki challenge mbalimbali, wakajishindia zawadi na wengine wakajiandikisha kushiriki kwenye tuzo hizo zinazofanyika kwa msimu wa Nane.

1. 𝐃𝐢𝐚𝐠𝐧𝐨𝐬𝐭𝐢𝐜 𝐑𝐚𝐝𝐢𝐨𝐠𝐫𝐚𝐩𝐡𝐲 kwa ada ya 1.6M ( unapata Mkopo 100%) Vigezo ni D 5 ikiwemo Physics,Chemistry,Biology,B/Maths na English

2. 𝐂𝐥𝐢𝐧𝐢𝐜𝐚𝐥 𝐌𝐞𝐝𝐢𝐜𝐢𝐧𝐞 kwa ada ya 1.6M Vigezo ni D nne ikiwemo Physics,Chemistry na Biology 𝐧𝐚

3. 𝐏𝐡𝐚𝐫𝐦𝐚𝐜𝐞𝐮𝐭𝐢𝐜𝐚𝐥 𝐒𝐜𝐢𝐞𝐧𝐜𝐞𝐬 kwa ada ya 1.4M, Vigezo ni D nne ikiwemo Chemistry na Biology.

Ada zote zinalipwa kwa awamu, na hosteli ni bure

Kwa ajili ya kujiunga na chuo tupigie;
+255 785 029 817
+255 767 302 894
+255 785 026 582
+255 681 501 630

Apply kwenye tovuti yetu;
www.macwish.ac.tz

Kozi ya Udaktari ni moja ya taaluma muhimu sana katika jamii kwa sababu inahusika moja kwa moja na kulinda na kuokoa mai...
04/03/2026

Kozi ya Udaktari ni moja ya taaluma muhimu sana katika jamii kwa sababu inahusika moja kwa moja na kulinda na kuokoa maisha ya watu. Kupitia masomo haya, mwanafunzi anajifunza jinsi ya kuchunguza magonjwa, kutoa matibabu sahihi na kutoa elimu ya afya kwa jamii ili kuzuia magonjwa kabla hayajaathiri watu wengi.

Kusoma Udaktari pia kunatoa nafasi kubwa ya ajira katika hospitali, vituo vya afya na taasisi mbalimbali za afya. Kupitia chuo cha afya , wanafunzi wetu wanapata elimu bora inayowaandaa kuwa wataalamu wenye ujuzi, uwezo na moyo wa kuhudumia jamii.

1. 𝐃𝐢𝐚𝐠𝐧𝐨𝐬𝐭𝐢𝐜 𝐑𝐚𝐝𝐢𝐨𝐠𝐫𝐚𝐩𝐡𝐲 kwa ada ya 1.6M ( unapata Mkopo 100%) Vigezo ni D 5 ikiwemo Physics,Chemistry,Biology,B/Maths na English

2. 𝐂𝐥𝐢𝐧𝐢𝐜𝐚𝐥 𝐌𝐞𝐝𝐢𝐜𝐢𝐧𝐞 kwa ada ya 1.6M Vigezo ni D nne ikiwemo Physics,Chemistry na Biology 𝐧𝐚

3. 𝐏𝐡𝐚𝐫𝐦𝐚𝐜𝐞𝐮𝐭𝐢𝐜𝐚𝐥 𝐒𝐜𝐢𝐞𝐧𝐜𝐞𝐬 kwa ada ya 1.4M, Vigezo ni D nne ikiwemo Chemistry na Biology.

Ada zote zinalipwa kwa awamu, na hosteli ni bure

Kwa ajili ya kujiunga na chuo tupigie;
+255 785 029 817
+255 767 302 894
+255 785 026 582
+255 681 501 630

Apply kwenye tovuti yetu;
www.macwish.ac.t

Linapokuja suala la Kozi ya Diagnostic Radiography, MacWish College ndiyo chaguo sahihi. Tunatoa mafunzo kwa kutumia tek...
25/02/2026

Linapokuja suala la Kozi ya Diagnostic Radiography, MacWish College ndiyo chaguo sahihi. Tunatoa mafunzo kwa kutumia teknolojia za kisasa ili kukuandaa kuwa mtaalamu bora wa afya.

1. 𝐃𝐢𝐚𝐠𝐧𝐨𝐬𝐭𝐢𝐜 𝐑𝐚𝐝𝐢𝐨𝐠𝐫𝐚𝐩𝐡𝐲 kwa ada ya 1.6M ( unapata Mkopo 100%) Vigezo ni D 5 ikiwemo Physics,Chemistry,Biology,B/Maths na English

2. 𝐂𝐥𝐢𝐧𝐢𝐜𝐚𝐥 𝐌𝐞𝐝𝐢𝐜𝐢𝐧𝐞 kwa ada ya 1.6M Vigezo ni D nne ikiwemo Physics,Chemistry na Biology 𝐧𝐚

3. 𝐏𝐡𝐚𝐫𝐦𝐚𝐜𝐞𝐮𝐭𝐢𝐜𝐚𝐥 𝐒𝐜𝐢𝐞𝐧𝐜𝐞𝐬 kwa ada ya 1.4M, Vigezo ni D nne ikiwemo Chemistry na Biology.

Ada zote zinalipwa kwa awamu, na hosteli ni bure

Kwa ajili ya kujiunga na chuo tupigie;
+255 785 029 817
+255 767 302 894
+255 785 026 582
+255 681 501 630

Apply kwenye tovuti yetu;
www.macwish.ac.tz

Tunathamini muda wako Haijalishi uko wapi Mwanafamilia wa MacWish kwa simu au Kompyuta. Sasa unaweza kujihudumia moja kw...
22/02/2026

Tunathamini muda wako

Haijalishi uko wapi Mwanafamilia wa MacWish kwa simu au Kompyuta. Sasa unaweza kujihudumia moja kwa moja kwa hatua chache kupitia tovuti yetu ya www.macwish.ac.tz

Huduma mkononi mwako, muda wowote popote ulipo, haraka, rahisi na salama📍

1. 𝐃𝐢𝐚𝐠𝐧𝐨𝐬𝐭𝐢𝐜 𝐑𝐚𝐝𝐢𝐨𝐠𝐫𝐚𝐩𝐡𝐲 kwa ada ya 1.6M ( Mkopo 100%)
2. 𝐂𝐥𝐢𝐧𝐢𝐜𝐚𝐥 𝐌𝐞𝐝𝐢𝐜𝐢𝐧𝐞 kwa ada ya 1.6M 𝐧𝐚
3. 𝐏𝐡𝐚𝐫𝐦𝐚𝐜𝐞𝐮𝐭𝐢𝐜𝐚𝐥 𝐒𝐜𝐢𝐞𝐧𝐜𝐞𝐬 kwa ada ya 1.4M

Ada zote zinalipwa kwa awamu, na hosteli ni bure

Kwa ajili ya kujiunga na chuo tupigie;
+255 785 029 817
+255 767 302 894
+255 785 026 582

Au tembelea tovuti yetu;
www.macwish.ac.tz

📍Tupo Nyashishi Jijini Mwanza.

Kwa miaka mingi,   imeendelea kuwa chaguo la wanafunzi waliohitimu Kidato cha Nne wanaotaka elimu Bora, nidhamu na maand...
05/02/2026

Kwa miaka mingi, imeendelea kuwa chaguo la wanafunzi waliohitimu Kidato cha Nne wanaotaka elimu Bora, nidhamu na maandalizi halisi ya taaluma. Ukichagua , unachagua ubora, maono na mafanikio ya muda mrefu katika sekta ya afya.

1. 𝐃𝐢𝐚𝐠𝐧𝐨𝐬𝐭𝐢𝐜 𝐑𝐚𝐝𝐢𝐨𝐠𝐫𝐚𝐩𝐡𝐲 kwa ada ya 1.6M ( unapata Mkopo%) Vigezo ni D 5 ikiwemo Physics,Chemistry,Biology,B/Maths na English

2. 𝐂𝐥𝐢𝐧𝐢𝐜𝐚𝐥 𝐌𝐞𝐝𝐢𝐜𝐢𝐧𝐞 kwa ada ya 1.6M Vigezo ni D nne ikiwemo Physics,Chemistry na Biology 𝐧𝐚

3. 𝐏𝐡𝐚𝐫𝐦𝐚𝐜𝐞𝐮𝐭𝐢𝐜𝐚𝐥 𝐒𝐜𝐢𝐞𝐧𝐜𝐞𝐬 kwa ada ya 1.4M, Vigezo ni D nne ikiwemo Chemistry na Biology.

Ada zote zinalipwa kwa awamu, na hosteli ni bure

Kwa ajili ya kujiunga na chuo tupigie;
+255 785 029 817
+255 767 302 894
+255 785 026 582
+255 681 501 630

Apply kwenye tovuti yetu;
www.macwish.ac.tz

Asanteni sana wanafunzi  wetu wa  🔥Kwa moyo wa kupambana, kujitoa na kuilinda kwa heshima nembo ya Mac Wish, mmefanikiwa...
04/02/2026

Asanteni sana wanafunzi wetu wa 🔥
Kwa moyo wa kupambana, kujitoa na kuilinda kwa heshima nembo ya Mac Wish, mmefanikiwa kutuvusha hadi hatua ya nusu fainali,Safari haijaisha malengo yetu kwa msimu huu ni Kubeba Ubingwa wa michuano ya Yas chuo challenge cup.

1. 𝐃𝐢𝐚𝐠𝐧𝐨𝐬𝐭𝐢𝐜 𝐑𝐚𝐝𝐢𝐨𝐠𝐫𝐚𝐩𝐡𝐲 kwa ada ya 1.6M ( unapata Mkopo%) Vigezo ni D 5 ikiwemo Physics,Chemistry,Biology,B/Maths na English

2. 𝐂𝐥𝐢𝐧𝐢𝐜𝐚𝐥 𝐌𝐞𝐝𝐢𝐜𝐢𝐧𝐞 kwa ada ya 1.6M Vigezo ni D nne ikiwemo Physics,Chemistry na Biology 𝐧𝐚

3. 𝐏𝐡𝐚𝐫𝐦𝐚𝐜𝐞𝐮𝐭𝐢𝐜𝐚𝐥 𝐒𝐜𝐢𝐞𝐧𝐜𝐞𝐬 kwa ada ya 1.4M, Vigezo ni D nne ikiwemo Chemistry na Biology.

Ada zote zinalipwa kwa awamu, na hosteli ni bure

Kwa ajili ya kujiunga na chuo tupigie;
+255 785 029 817
+255 767 302 894
+255 785 026 582
+255 681 501 630

Apply kwenye tovuti yetu;
www.macwish.ac.tz

Address

Nyashishi
Mwanza
1906

Opening Hours

Monday 08:00 - 16:00
Tuesday 08:00 - 16:00
Wednesday 08:00 - 16:00
Thursday 08:00 - 16:00
Friday 08:00 - 16:00

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when MacWish College of Health and Allied Sciences posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The School

Send a message to MacWish College of Health and Allied Sciences:

Shortcuts

Share