Prosperity secondary school

Prosperity secondary school Provides Ordinary Education Services. The School Admits Form one students to Form four

Matukio mbalimbali katika picha mahafali ya 11 Wahitimu + staff members wakisherehekea siku hiyo muhimu.
02/12/2025

Matukio mbalimbali katika picha mahafali ya 11 Wahitimu + staff members wakisherehekea siku hiyo muhimu.

FORM FOUR 2024. πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ‘πŸ‘πŸ‘ WAKATI WA MUNGU NDIYO WAKATI SAHIHI πŸ’ͺπŸ’ͺ
23/01/2025

FORM FOUR 2024. πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ‘πŸ‘πŸ‘ WAKATI WA MUNGU NDIYO WAKATI SAHIHI πŸ’ͺπŸ’ͺ

The mood of singing ❀️‍πŸ”₯πŸ₯°
30/12/2024

The mood of singing ❀️‍πŸ”₯πŸ₯°

KARIBUNI KUCHUKUA FOMU  KWA MWAKA MPYA WA MASOMO 2025
12/12/2024

KARIBUNI KUCHUKUA FOMU KWA MWAKA MPYA WA MASOMO 2025

01/12/2023

Graduants entering with full of happiness

17/10/2023
16/10/2023
UONGOZI WA SHULE YA SEKONDARI PROSPERITY ILIYOKO ILEMELA~ MWANZA UNAPENDA KUKUTANGAZIA:1. NAFASI ZA MASOMO YA PRE_ FORM ...
31/08/2023

UONGOZI WA SHULE YA SEKONDARI PROSPERITY ILIYOKO ILEMELA~ MWANZA UNAPENDA KUKUTANGAZIA:
1. NAFASI ZA MASOMO YA PRE_ FORM ONE 2023

2.NAFASI ZA KUHAMIA KWA KIDATO CHA 2, 3 & 4 KWA MWAKA WA MASOMO 2024

3.NAFASI ZA MASOMO KWA QT NA REASTERS ( WANAORUDIA MTIHANI)

**Shule ni ya Bweni na Kutwa, Wavulana na Wasichana iko mazingira mazuri na salama kwa wanafunzi kujisomea kwani imezungushiwa ukuta eneo lote la shule.
** Namna ya kufika shuleni, fika sabasaba/kiseke CCM chukua bodaboda na umuombe akupeleke PROSPERITY sekondari inayopatikana Mtaa wa Buduku ~ kibao cha jeshi( Jeshini) kutokea sabasaba nauli ni Tsh. 2,000, kutokea kiseke CCM nauli ni Tsh. 1,000

**MASOMO YA PRE FORM ONE YATAANZA 18/09/2023 KWA GHARAMA ZA Tsh. 200,000 wanafunzi wa Bweni na Tsh. 60,000 wanafunzi wa kutwa.

*MAHITAJI WATAKAYOPATA SHULENI NI MADAFTARI YOTE YA MASOMO, KALAMU MUDA WOTE WA KOZI, GODORO & KITANDA na SARE[ T-shirt]

KWA MAELEZO ZAID PIGA: 0769828147
0683725312

Address

Mwanza

Telephone

+255744180505

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Prosperity secondary school posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The School

Send a message to Prosperity secondary school:

Shortcuts

Share

Category