Dct Holy Trinity Pre & Primary Sshool

Dct Holy Trinity Pre & Primary Sshool Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Dct Holy Trinity Pre & Primary Sshool, School, Mwanza.

Usipange mtoto wako akose fursa hii wahi nafasi ni chache...!!
19/05/2024

Usipange mtoto wako akose fursa hii wahi nafasi ni chache...!!

07/11/2023

Wanafunzi wa darasa la pili wakijifunza kwa kutumia vishkwambi (Tablets)

Karibuni sana Dct Holy Trinity - Quality Education for success.
27/10/2023

Karibuni sana Dct Holy Trinity - Quality Education for success.

03/10/2023

Wanafunzi wa DCT HOLY TRINITY pamaja na walimu wao katika ziara ya mafunzo Ziwa Victoria Mwanza.

Tumeanza kupokea watoto wanaotaka kujiunga na darasa la awali na darasa la kwanza 2024, pia kuna nafasi chache kwa wanao...
03/10/2023

Tumeanza kupokea watoto wanaotaka kujiunga na darasa la awali na darasa la kwanza 2024, pia kuna nafasi chache kwa wanaotaka kuhamia darasa la pili, tatu, tano na darasa la sita, Karibuni sana.

Ukimleta mtoto shule ya DCT HOLY TRINITY atapata fursa ya kutembelea maeneo mbalimbali na kujifunza mambo mabalimbali.
03/10/2023

Ukimleta mtoto shule ya DCT HOLY TRINITY atapata fursa ya kutembelea maeneo mbalimbali na kujifunza mambo mabalimbali.

Kila la heri kwa vijana wetu wa darasa la saba wanaotarajia kufanya mtihani wao wa kumaliza elimu ya msingi Mungu awatan...
12/09/2023

Kila la heri kwa vijana wetu wa darasa la saba wanaotarajia kufanya mtihani wao wa kumaliza elimu ya msingi Mungu awatangulie.

OFA...OFA... OFA ...OFA...Karibu Dct Holy Trinity Primary School Ulipie Laki nne tu ADA pamoja na USAFIRI kwa muhula wa ...
03/07/2023

OFA...OFA... OFA ...OFA...
Karibu Dct Holy Trinity Primary School Ulipie Laki nne tu ADA pamoja na USAFIRI kwa muhula wa wasomo uliobaki(JULY mpaka DECEMBER ) wahi mapema nafasi ni chache...!!

Baba askofu Dickson Chilongani na mama askofu wakikabidhiwa zawadi katika hafla fupi ya makabidhiano ya laptop kwa wanaf...
19/12/2022

Baba askofu Dickson Chilongani na mama askofu wakikabidhiwa zawadi katika hafla fupi ya makabidhiano ya laptop kwa wanafunzi wa Dct holy trinity

11/12/2022

Uwasilishaji wa darasa la kwanza, mahafali ya darasa la awali 2022 šŸ”„šŸ”„Karibuni sana Dct Holy Trinity.

Mahafali ya darasa la awali 2022, Karibu umlete mtoto wako DCT HOLY TRINITY kwa elimu na malezi bora.
11/12/2022

Mahafali ya darasa la awali 2022, Karibu umlete mtoto wako DCT HOLY TRINITY kwa elimu na malezi bora.

Mlete mwanao DCT HOLY TRINITY kwa elimu na malezi bora ya mtoto wako, ada zetu ni nafuu sana na unalipa kwa awamu. DCT H...
02/12/2022

Mlete mwanao DCT HOLY TRINITY kwa elimu na malezi bora ya mtoto wako, ada zetu ni nafuu sana na unalipa kwa awamu. DCT HOLY TRINITY "Education for success"

Address

Mwanza

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dct Holy Trinity Pre & Primary Sshool posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category