31/07/2023
NAFASI YA KAZI YA UALIMU EMARA HIGHLAND ENGLISH MEDIUM NURSERY AND PRIMARY SCHOOL.
SIFA ZA MWALIMU
1: Awe anajuwa Kingereza (Fruently speaking and writing )
2: Awe Madam
3: Amesomea Ualimu wa watoto wadogo kwa ngazi ya CHETI AU DIPLOMA
4: Awe tayari kuishi ndani ya shule kwa muda wote wa kazi ispokuwa likizo.
5: Awe tayari kulipwa kiasi chochote kitakacho pangwa na Uongozi.
Njoo na vyeti vyako na Vitambulisho halisi.
MAHALI SHULE ILIPO.
Shule ipo Mwaza Nyamagana. Kata ya Isamilo National.
MAWASILIANO
0652530530.
Karibuni wote