Snooty kiddy

Snooty kiddy Our life depends on how we think far from where most people ends.I am the fisher of the men.

12/07/2024

This is Why You Should Go To Leicester University.
She Explains

HAPPY BIRTHDAY TO ME.25 QUESTIONS ON MY 25th BIRTHDAY.1.Kwanini Nilizaliwa?.2.Ninafanana Na Umri Wangu?.3.Ni Ipi Faida Y...
30/06/2024

HAPPY BIRTHDAY TO ME.
25 QUESTIONS ON MY 25th BIRTHDAY.
1.Kwanini Nilizaliwa?.
2.Ninafanana Na Umri Wangu?.
3.Ni Ipi Faida Ya Uhai?.
4.Ni Ipi Faida Ya Maisha?.
5.Ni Ipi Thamani Ya Maisha Yangu?.
6.Ni Ipi Thamani Ya Maisha Yangu Kwa Watu?.
7.Mimi Ni Nani?.
8.Kwanini Mimi Ni Huyo Ninayemuwaza?.
9.Nimefanya Nini?,Ninafanya Nini? Na Nitafanya Nini? Kwajili Ya Kizazi Kijacho?.
10.Hofu Yangu Au Changamoto Za Kimaisha Ndio Chanzo Cha Kutokuendelea Kwangu?.
11.Mungu Anacheo Gani Katika Maisha Yangu?.
12.Kwa Umri Wangu Huu!!,Nimefanya Nini Kwaajili Ya Wengine?.
13.Nimeukwea Mnazi Wa Hekima?.
14.Nimezipanda Mbezu Zenye Kuzaa Matunda Bora?.
15.Je!,Ninafuraha Ya Kweli?.
16.Nimefanya Uchaguzi Sahihi Kwa Hiki Ninachofanya?.
17.Ni Vipaumbele Gani Naviweka Kabla Na Wakati Wa Kufanya Maamuzi Yangu?.
18Natumia Fikra Chanya Au Hisia Wakati Wa Maamuzi Yangu?.
19.Hofu Yangu Kubwa Ni Nini?.
20.Kipi Kinatumia Sana Muda Wangu?.
21.Ninaishi Kwaajili Ya Leo Au Kesho?.
22.Ninaamini Ninachokifanya?.
23.Vipi K**a Ndoto Yangu Ni Ndoto Kweli,Nitaweza Kuamka Kutoka Usingizini?.
24.Ninataka Nini Na Kwanini?.
25.Lini Nitakuwa Mimi?,Au Tayari Ni Mimi?.

UNATAMBUA KWANINI UNAISHI?
18/06/2024

UNATAMBUA KWANINI UNAISHI?

Make ya dreams become true IG FASSYTZ
01/06/2020

Make ya dreams become true IG FASSYTZ

Address

Mwanza

Telephone

+255625675318

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Snooty kiddy posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The School

Send a message to Snooty kiddy:

Shortcuts

Share

Category