Minja Tech & High School

Minja Tech & High School A_level Education in HGK, HKL, HGL, EGM, HGE & PCM PCB O_Level Education & Vocational Training

Ramadan Kareem kwa wote
12/03/2024

Ramadan Kareem kwa wote

Ni vipi umeifahamu Minja Tech & High School? Ulisoma hapo?Ndugu yako alisoma hapo?Unatoka Mwanga?Njia nyingine iliyokufa...
22/02/2024

Ni vipi umeifahamu Minja Tech & High School?

Ulisoma hapo?
Ndugu yako alisoma hapo?
Unatoka Mwanga?

Njia nyingine iliyokufanya uijue Minja Tech & High School.

Tujulishe ulianza mwaka gani na ukamaliza mwaka gani!
19/02/2024

Tujulishe ulianza mwaka gani na ukamaliza mwaka gani!

Baadhi ya Staff wetu Minja Tech & High School.Umemtambua nani?
16/02/2024

Baadhi ya Staff wetu Minja Tech & High School.

Umemtambua nani?

14/02/2024

Karibu Minja Tech & High School

Shule ipo Wilaya ya Mwanga sehemu ya Ugweno kilomita 12 kutoka barabara kuu ya Moshi kwenda Dar Es Salaam.

Tunatoa masomo ya Kidato cha Tano na Sita katika combination za HGK, HKL, HGL, EGM, HGE pia tupo mbioni kutoa na combination za Sayansi na tuna nafasi kuhamia za Kidato cha Kwanza na Tatu.

Taasisi ya Minja Technical & High School into a mafunzo ya Ufundi katika fani za electrical installation, plumbing & pipe fitting, carpentry & joinery, na welding & metal fabrication.

Address

Masumbweno
Mwanga

Telephone

+255719484970

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Minja Tech & High School posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category