Mandaka DAY SEC School

Mandaka DAY SEC School Mandaka Day Sec School is one of the Government school which located at Mandaka area in Mwanga Distr School Vision: EDUCATION FOR BETTER LIFE

TANZIA MKUU wa Shule kwa masikitiko makubwa anatangaza kufariki kwa mwalimu Hadija Omary Jumbe. Marehemu amefariki pamoj...
07/08/2025

TANZIA
MKUU wa Shule kwa masikitiko makubwa anatangaza kufariki kwa mwalimu Hadija Omary Jumbe. Marehemu amefariki pamoja na mtoto wake mchanga. Sababu ya kufariki ni tatizo la uzazi. Mwalimu alikuwa mwalimu wa malezi shuleni pia mwalimu wa hostel.
Tunaomba kwa mwenyezimungu ampokee na ahifadhi roho yake mahala pema, amina.

Chemistry practicle.  Students centre teaching
04/04/2024

Chemistry practicle. Students centre teaching

Probono leader from Germany. Thanks for visiting mandaka.
04/04/2024

Probono leader from Germany. Thanks for visiting mandaka.

School Baraza , welcome form one. Mandaka  #1
04/04/2024

School Baraza , welcome form one. Mandaka #1

Kupongezana Day. Mandaka  #1
04/04/2024

Kupongezana Day. Mandaka #1

Vitumbuizo welcome form one.
04/04/2024

Vitumbuizo welcome form one.

Kikundi cha PEP CLUB wakiwa ktk majadiliano kuhusu Interpreneurship .
30/03/2024

Kikundi cha PEP CLUB wakiwa ktk majadiliano kuhusu Interpreneurship .

Marehemu Happy Mlay (Matron) enzi za uhai wake, akiwa na walimu walipotembelea mtambo wa kuzalisha umeme (Nyumba ya Mung...
14/03/2023

Marehemu Happy Mlay (Matron) enzi za uhai wake, akiwa na walimu walipotembelea mtambo wa kuzalisha umeme (Nyumba ya Mungu Hydro Electric Power Station) kujifunza masuala mbali mbali.

TANZIAUongozi wa shule ya sekondari Mandaka, kwa masikitiko makubwa unatangaza kuondokewa ( kufiwa) na matron wa shule B...
14/03/2023

TANZIA
Uongozi wa shule ya sekondari Mandaka, kwa masikitiko makubwa unatangaza kuondokewa ( kufiwa) na matron wa shule Bi, Happy Mlay. Daima atakumbukwa kwa uchapakazi wake na kuwapenda wanafunzi. Hakika tunasema Mungu ametoa na mungu ametwaha, roho ya marehemu Happy Mlay ihifadhiwe mahala pema peponi. Ahsante.

18/07/2022
New computer room
15/07/2022

New computer room

Address

P. O. Box 301
Mwanga

Opening Hours

Monday 08:00 - 17:00
Tuesday 08:00 - 17:00
Wednesday 08:00 - 17:00
Thursday 08:00 - 17:00
Friday 08:00 - 17:00

Telephone

+255784208007

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mandaka DAY SEC School posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The School

Send a message to Mandaka DAY SEC School:

Shortcuts

Share

Category