Institution Of Heavy Equipment & Technology

Institution Of Heavy Equipment & Technology WE ARE DEAL WITH TREATING OF INDUSTRIAL COUNTERBALANCE OPERATIONS LIFT TRUCKS & CONSTRUCTION MACHIN

19/12/2022
14/12/2022
Mkuu wa chuo cha mitambo IHET anapenda kuwatangazia nafasi za masomo kwa wote wenye sifa za kujiunga kozi za muda mrefu ...
31/10/2022

Mkuu wa chuo cha mitambo IHET anapenda kuwatangazia nafasi za masomo kwa wote wenye sifa za kujiunga kozi za muda mrefu zitolewazo ihet k**a welding and metal fabrication, auto electric nk

Kwa maelezo zaidi tembelea tovuti yetu www.ihet.ac.tz

🔥🔥🇹🇿🇹🇿🇹🇿💪🏿💪🏿💪🏿💪🏿

Karibu IHET ujifunze kuendesha mitambo mbalimbali k**a operation of bulldozer, excavator, dump truck n.kChuo kina walimu...
31/10/2022

Karibu IHET ujifunze kuendesha mitambo mbalimbali k**a operation of bulldozer, excavator, dump truck n.k
Chuo kina walimu wa kutosha na wana uzoefu wa kutosha kwenye fani hizo.
Chuo kipo Dar es salaam Kijitonyama. Karibuni sana.
Kwa msaada zaidi ingia kwenye tovuti yetu www.ihet.ac.tz

Je ulishawahi kutamani kusoma ICT kwenye chuo ambacho kina vifaa vya kutosha kwaajili ya kujifunza kwa vitendo zaidi?Hiv...
20/10/2022

Je ulishawahi kutamani kusoma ICT kwenye chuo ambacho kina vifaa vya kutosha kwaajili ya kujifunza kwa vitendo zaidi?
Hivyo Mkuu wa chuo cha IHET anawakaribisha kuja kusoma ICT kwani walimu wapo wa kutosha na wamebobea kwenye fani hiyo.
Karibu IHET upate elimu bora na sio bora elimu.

Umeshawahi kupata mchongo?Jibu ni NDIYO au HAPANApata mchongo Sasa ubadilishe maisha Kupitia Mimi The Institution Of Hea...
17/10/2022

Umeshawahi kupata mchongo?
Jibu ni NDIYO au HAPANA

pata mchongo Sasa ubadilishe maisha
Kupitia Mimi
The Institution Of Heavy Equipment & Technology
Chuo Cha mitambo mikubwa ya unjenzi wa barabara na shughuli za bandarini.
Tupo kijitonyama Dar es salaam Tanzania Lutheran Church KKKT kijitonyama au tutembelee kwa website ya chuo

www.ihet.ac.tz

Chuo cha Mitambo IHET kinawakaribisha wote wanaotamani kujifunza masomo ya ICT k**a computer application, computer maint...
17/10/2022

Chuo cha Mitambo IHET kinawakaribisha wote wanaotamani kujifunza masomo ya ICT k**a computer application, computer maintenance, computer repair nk
Kwa maelezo zaidi
Tupigie 0711597778/0748221919/0754300200

15/10/2022

WELCOME TO INSTITUTE OF HEAVY EQUIPMENT AND TECHNOLOGY (IHET)

When you enroll at IHET you become a part of a dynamic learning environment comprised of a student, faculty and industry team focused on advancing your goals and launching your career. IHET is doing what we were created to do. We are efficiently and effectively helping Tanzania Government meet the high-tech challenges of today’s global economy,

15/10/2022

Address

Kijitonyama Dar Es Salaam
Mwananyamala

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Institution Of Heavy Equipment & Technology posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The School

Send a message to Institution Of Heavy Equipment & Technology:

Shortcuts

Share