Marafiki wa elimu musoma

Marafiki wa elimu musoma KULETA USAWA NA KUSHIRIKIANA NA WANAJAMII KUHAKIKISHA ELIMU INAYOTOLEWA NI ELIMU BORA KWA WOTE

Ni harakati za watu wanaojali na wenye nia ya kuleta mabadiliko katika kuboresha elimu na demokrasia nchini. Harakati hizi zinawaleta pamoja wananchi wanaopenda maendeleo ya elimu na zinawapa fursa ya kubadilishana mawazo na uzoefu katika masuala yanayohusu elimu .Sera na mipango mbalimbali ikiwemo mpango wa maendeleo ya elimu ya msingi (MMEM) na mpango wa maendeleo ya elimu ya sekondari (MMES) in

asisitiza ushiriki wa wananchi katika utekelezaji wake.Hivyo wananchi wote wanawajibu wa kuchangia uboreshaji wa elimu na demokrasia nchini. kujiunga na harakati hizi za marafiki wa elimu ni bure na hakuna malipo yoyote wasiliana nasi kwa namba 0755 65 00 75 au e-mail [email protected] tukuunganishe na marafiki wa elimu popote ulipo Tanzania

Address

Musoma

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Marafiki wa elimu musoma posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category