Maombi ya Vyuo.

Maombi ya Vyuo. Nasaidia kutuma maombi kwa Vyuo vya private na government.

WAZAZI!   INAWAHUSU  :Pichani, mtoto wa Nyani akiwa ameng’ang’ania kwenye maiti ya mama yake iliyoko mdomoni mwa Simba. ...
31/07/2022

WAZAZI! INAWAHUSU :

Pichani, mtoto wa Nyani akiwa ameng’ang’ania kwenye maiti ya mama yake iliyoko mdomoni mwa Simba. Japokuwa mwili wa mamaye hauna uhai, lakini mtoto wa Nyani bado anaamini kumkumbatia mamaye ni salama zaidi kuliko kujaribu kukimbia.

Bado anamwamini mama yake!! Wazungu wanasema “Down With The Ship”. Maana yake, umeamua kufia ndani ya meli inayozama. Au umeamua kuzama nayo!

Hebu angalia macho ya mtoto na alivyong’ang’ania mwili wa mamaye.
Bado anaamini mama atatafuta namna ya kumwokoa, kumbe mama hayupo tena.

Kuning’inia kwenye tumbo la mamaye ndiyo usalama wa hali ya juu anaoujua tangu azaliwe. Mara zote wakati mama anaruka kwenye matawi ya miti mikubwa yeye huwa amejishika tumboni kwa mama. Ana imani sana na sehemu hiyo.Ndiyo maana ameamua kwenda “Down With The Ship.”

Kuna kubwa la kujifunza kwenye hili tukio. Nimewaza mengi wakati natafakari hii picha, hasa kwa vile nina watoto wanaonipenda na kunitegemea.

K**a wazazi tujue kuwa watoto wetu wanatutegemea kwa kiwango ambacho maisha yao yanategemea yetu. Baya lolote kwetu, kifo chetu, kuugua kwetu kunayaathiri maisha yao moja kwa moja.

Leo hii unadharau familia yako na kuwajali ZAIDI rafiki zako wa kazini, kwenye vilabu vya pombe na sehemu nyingine za starehe. Familia yako unaipa muda kidogo sana na wala huoni umuhimu mkubwa wa kuwa na familia yako. Mambo mengi unawaza na kuamua KIBINAFSI SANA. Unataka kujifurahisha wewe kwa starehe za muda zisizo salama bila kujali athari zinazoweza kuipata familia kwa maamuzi yako!

Kumbuka, baya lolote kwako litaathiri wanao moja kwa moja. Rafiki na wengine wana maisha yao nje ya wewe, lakini kwa wanao wewe ndiyo kila kitu, k**a unavyomwona mtoto wa Nyani kwenye hii picha, mama yake ndiyo kila kitu. Watoto wako wanaweza kuendelea kuishi bila wewe ila maisha yao yatakuwa yameharibika kabisa. Wao ndiyo watakaoipata “Down With The Ship.”

Tafadhali, ukishakuwa na familia, weka mbele familia yako. Maslahi yao iwe kipaumbele cha kwanza kwako.

Education is a lifeline for children in crises.Yet the number of schoolchildren missing out on learning due to COVID-19,...
19/07/2022

Education is a lifeline for children in crises.

Yet the number of schoolchildren missing out on learning due to COVID-19, conflicts, forced displacement and climate-induced disasters is increasing.

Governments must do everything they can to help every child get back on track. Now.

09/07/2022


Use your knowledge wisely
Bernson Sebastian

Education is a purposeful activity directed at achieving certain aims, such as transmitting knowledge or fostering skills and character traits. These aims may include the development of understanding, rationality, kindness, and honesty. Various researchers emphasize the role of critical thinking in order to distinguish education from indoctrination. Some theorists require that education results in an improvement of the student while others prefer a value-neutral definition of the term. In a slightly different sense, education may also refer, not to the process, but to the product of this process: the mental states and dispositions possessed by educated people. Education originated as the transmission of cultural heritage from one generation to the next. Today, educational goals increasingly encompass new ideas such as the liberation of learners, skills needed for modern society, empathy, and complex vocational skills.

That's how we are supposed to be!
07/07/2022

That's how we are supposed to be!

03/07/2022

NAFASI ZA MASOMO CERTIFICATE NA DIPLOMA 2022/2023

COURSE ZA AFYA NA COURSE ZINGINE ZOTE
Nacte wamefungua dirisha la udahili tayari kwa September intake tar 24/05/2022 hadi 30/07/2022 kwa awamu ya Kwanza
Wewe unayehitaji nafasi na unashindwa kutuma maombi, tuwasiliane nikutumie maombi kwa bei nafuu kwenye vyuo vya serikal na binafsi,
nitakujuza hatua kwa hatua hadi maombi yanapokamilika
Nafanya hiyo huduma kwa uaminifu mkubwa.
Mawasiliano
Mr Bernson : [email protected]
: [email protected]
Namba 0621021747 (kupiga na Ujumbe mfupi)
0717035152 (Whatsapp tu)
Ahsanteni Karibuni Nyote.
🙏🙏🙏

03/07/2022

Congratulations Young Africans for your 28th league trophies.
20/06/2022

Congratulations Young Africans for your 28th league trophies.

🙌🙌
17/06/2022

🙌🙌

14/06/2022

NAFASI ZA MASOMO CERTIFICATE NA DIPLOMA 2022/2023

COURSE ZA VYUO VYA AFYA
Nacte wamefungua dirisha la udahili tayari kwa September intake tar 24/05/2022 hadi 30/07/2022 kwa awamu ya Kwanza
Wewe unayehitaji nafasi na unashindwa kutuma maombi, tuwasiliane nikutumie maombi kwa bei nafuu kwenye vyuo vya serikal na binafsi,
nitakujuza hatua kwa hatua hadi maombi yanapokamilika
Nafanya hiyo huduma kwa uaminifu mkubwa.
Mawasiliano
Mr Bernson : [email protected]
: [email protected]
Namba 0621021747 (kupiga na Ujumbe mfupi)
0717035152 (Whatsapp tu)
Ahsanteni Karibuni Nyote.
🙏🙏🙏

Success!
12/06/2022

Success!

Katika mafanikio, matumizi ya akili yapaswa kuwa makubwa kuliko matumizi ya nguvu japo yote hutegemeana🙌🙌🙌
10/06/2022

Katika mafanikio, matumizi ya akili yapaswa kuwa makubwa kuliko matumizi ya nguvu japo yote hutegemeana🙌🙌🙌

Address

Musoma

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Maombi ya Vyuo. posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The School

Send a message to Maombi ya Vyuo.:

Shortcuts

Share

Category