St. Achilleus Kiwanuka S.S

St. Achilleus Kiwanuka S.S Quality Education for better success

10/04/2020

JUMUIYA YA ST. ACHILLEUS KIWANUKA KIJWIRE S.S INAWATAKIA MANDALIZI MEMA YA EASTER.
MKUMBUKE KUCHUKUW TAHADHARI JUU YA UGONJWA WA CORONA.
STAY HOME STAY SAFE.

MAPAMBANO YANAENDELEA 2020.
09/01/2020

MAPAMBANO YANAENDELEA 2020.

UONGOZI WA SHULE YA MT. ACHILLEUS KIWANUKA KIJWIRE SEKONDARI UNATOA PONGEZI KWA VIJANA WALIOMALIZA KIDATO CHA NNE MWAKA ...
09/01/2020

UONGOZI WA SHULE YA MT. ACHILLEUS KIWANUKA KIJWIRE SEKONDARI UNATOA PONGEZI KWA VIJANA WALIOMALIZA KIDATO CHA NNE MWAKA 2019 KWA MATOKEO MAZURI. HAKIKA MUNGU YUU PAMOJA NASI.
MUNGU AWABARIKI.

25/11/2019

WAKATI TUKIKARIBIA KUFUNGA MWAKA WA MASOMO MNAMO TAR 06/12/2019.

UONGOZI WA SHULE YA ST. ACHILLEUS KIWANUKA SECONDARY SCHOOL (MULEBA - KAGERA) UNAWATANGAZIA NAFASI ZA KUJIUNGA NA;

KIDATO CHA I 2020
KIDATO CHA II 2020 (KWA WAHAMIAJI)
KIDATO CHA III 2020 (KWA WAHAMIAJI)
KIDATO CHA V

AIDHA KWA WAHAMIAJI WANATAKIWA KUFANYA MTIHANI WA KUJIUNGA.

KARIBUNI SANA.

KWA MAWASILIANO ZAIDI
0765167852

08/09/2019

TUNAWATANGAZIA NAFASI ZA PRE-FORM ONE COURSE ITAKAYOANZA TAR 23/09/2019.

COURSE HII NI KWA MIEZI 2 NAGHATAMA ZAKE NI SHS 200,000/-.WASILIANA NA UONGOZI WA SHULE KWA MAELEKEZO ZAIDI.

St. Achilleus kiwanuka S.S
30/06/2019

St. Achilleus kiwanuka S.S

13/03/2019

RESULT SLIPS ZA FORM IV 2018 TAYARI ZIPO SHULENI.
FIKA SHULENI UCHUKUE RESULT SLIP YAKO.
UTAWALA.

24/01/2019

TUNAMSHUKURU SANA MWENYEZI MUNGU KWA MATOKEO HAYA YA 2018.

TUNAWAPONGEZA WANAFUNZI WOTE WA KIDATO CHA PILI 2018 KWA MATOKEO HAYA TUZIDI KUMSHUKURU MUNGU KWA MEMA YOTE ANAYOTUTENDE...
04/01/2019

TUNAWAPONGEZA WANAFUNZI WOTE WA KIDATO CHA PILI 2018 KWA MATOKEO HAYA TUZIDI KUMSHUKURU MUNGU KWA MEMA YOTE ANAYOTUTENDEA.

SHUKRANI ZA DHATI KWA WALIMU WOTE WA ST. ACHILLEUS KIWANUKA S.S.

29/12/2018

*TANGAZO!TANGAZO! TANGAZO!**

SHULE YA SEKONDARI *ST. ACHILLEUS KIWANUKA S.S* iliyopo *MULEBA (KAGERA)* inawajulisha kuwa tuna endelea kupokea watoto wa kidato cha kwanza mpaka cha nne (I - IV ) kwa muhula wa masomo yanayoanza January 7, 2019. Mlete mtoto ajipatie elimu bora na thabiti kwa manufaa yake na taifa kwa ujumla. Mtoto atapokelewa na kusajiliwa. Nafasi ni chache sana hasa kwa kidato cha II na IV. Ada zetu ni nafuu sana na zinawezekana kulipwa kwa mtu yeyoye mwenye kipato cha kawaida. Shule ni ya *Boarding* na Ada kwa mwaka ni shs *1,300,000/-* Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kupitia : *0769112955*

**Karibuni sana.**

09/12/2018

NAFASI ZA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA BADO ZIPO HIVYO FIKA SHULENI UJIPATIE FOMU.
TUNAPOKEA PIA WANAFUNZI KWA KDT CHA PILI NA TATU.

KWA MAWASILIANO ZAIDI PIGA 0769 112 955 AU FIKA SHULENI.
* JUMAPILI NJEMA*

20/11/2018

TUNAWAPONGEZA WANAFUNZI WOTE WA ST. ACHILLEUS S.S KWA KUMALIZA MITIHANI YAO SALAMA.
PIA TUNAWATAKIA LIKIZO NJEMA.

Address

Kijwire
Muleba
13MULEBA

Telephone

+255765167852

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when St. Achilleus Kiwanuka S.S posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share