Tucasa NETC

Tucasa NETC Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Tucasa NETC, College & University, Muheza.

Huu Ni ukurasa unaohusu mambo mbalimbali ya kiroho na taarifa mbalimbali zinazohusu chama Cha tucasa kilicho chini ya idara ya vijana katika kanisa la waadventista wasabato

Karibuni sana Kwenye Joint Worship Ya Tucasa Kanda ya Tanga  Mheza Tanga
10/01/2022

Karibuni sana Kwenye Joint Worship Ya Tucasa Kanda ya Tanga Mheza Tanga

Hizi ni baadhi ya picha za tukio la kikao cha kwanza pamoja na semina za viongozi wa Tucasa Netc kilichofanyika Same kat...
21/11/2021

Hizi ni baadhi ya picha za tukio la kikao cha kwanza pamoja na semina za viongozi wa Tucasa Netc kilichofanyika Same katika kanisa la Sangu Sda Church Kuanzia tarehe 05-07.11.2021

It is a week of Prayer you are mostly invited to Attend it will increase something else to your spiritual growth, This w...
15/11/2021

It is a week of Prayer you are mostly invited to Attend it will increase something else to your spiritual growth, This week of prayer will go in touch with special day for fasting and praying

30/11/2020

Kumtumikia MUNGU daima

Happy sabbath all Tucasa member NETC,GOD bless you.
23/10/2020

Happy sabbath all Tucasa member NETC,
GOD bless you.

Tucasa Mwenge Choir wishing you happy preparation for the Sabbath.
23/10/2020

Tucasa Mwenge Choir wishing you happy preparation for the Sabbath.

Karibuni katika maombi ya siku tatu kwa ajili ya kikao Cha Tucasa union
08/10/2020

Karibuni katika maombi ya siku tatu kwa ajili ya kikao Cha Tucasa union

Kutakuwa na kikao Cha Tucasa Union ya Ntuc kitakachohusisha viongozi wote wa Conference/ field na Union kwa ujumla siku ...
08/10/2020

Kutakuwa na kikao Cha Tucasa Union ya Ntuc kitakachohusisha viongozi wote wa Conference/ field na Union kwa ujumla siku ya tarehe 11.10.2020 katika kanisa la waadventista wasabato Njiro Arusha naombeni wahusika tujitahidi kufika au kutuma wawakilishi,
Mungu awabariki mnapojiandaa kufanya hivyo 🙏

Address

Muheza

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tucasa NETC posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share