Kilimo Pro Max.

Kilimo Pro Max. +255

Mayai ya ndege gani
26/08/2026

Mayai ya ndege gani

Udongo huu unafaa zao gani?
26/08/2026

Udongo huu unafaa zao gani?

Hongera wafuatiliaji wa page yetu leo wamepata challenge moja na kupata zawadi ya elf 5 kila mmoja tukutane siku nyingin...
25/08/2026

Hongera wafuatiliaji wa page yetu leo wamepata challenge moja na kupata zawadi ya elf 5 kila mmoja tukutane siku nyingine kwenye chalenji

Kilimo hiki jamani.
25/08/2026

Kilimo hiki jamani.

25/08/2026

Washindi wetu leo ni hao.

Zawadi ya 10000 kwa watu wawili watakaopatia ni kilimo cha nini hapo kinafanyika wawili wa kwanza kwenye post hii wanato...
25/08/2026

Zawadi ya 10000 kwa watu wawili watakaopatia ni kilimo cha nini hapo kinafanyika wawili wa kwanza kwenye post hii wanatoka na pesa ya soda 5000 kila mmoja. Karibu uwe mmoja wao nasoma comment.

Kipi kinakufanya ujue kua hii mbegu ni ya kugoboa au kutumbua?
25/08/2026

Kipi kinakufanya ujue kua hii mbegu ni ya kugoboa au kutumbua?

Ukiona nyanya yako ina rangi nyeupe basi jua hapo maji yanafika kwa shida tafta namna ya kutengeneza ili maji yafike hap...
23/08/2026

Ukiona nyanya yako ina rangi nyeupe basi jua hapo maji yanafika kwa shida tafta namna ya kutengeneza ili maji yafike hapo kwa matokeo bora ya nyanya yako

Kuna watakokosea nini hicho kilichooteshwa hapo shambanTunakaribia msimu wa kulima kaa tayari na kupata maarifa ya kilim...
23/08/2026

Kuna watakokosea nini hicho kilichooteshwa hapo shamban

Tunakaribia msimu wa kulima kaa tayari na kupata maarifa ya kilimo ukiwa karibu na page hii

Si walimuita kanitangaze basi nami leo namtangaza kweli huyu ni kanitangaze mubaya sana mdudu huyu.
23/08/2026

Si walimuita kanitangaze basi nami leo namtangaza kweli huyu ni kanitangaze mubaya sana mdudu huyu.

Address

Muheza

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kilimo Pro Max. posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category