ZAIDI YA SOKA.

ZAIDI YA SOKA. Hellow!!! Karibu na Ahsante kwa kuwasiliana nasi.

PULISIC, NEYMAR JR. WATAJWA K**A NYOTA WA MCHEZO.Kiungo mshambuliaji wa Chelsea na timu ya Taifa ya Marekani Christian P...
13/04/2021

PULISIC, NEYMAR JR. WATAJWA K**A NYOTA WA MCHEZO.

Kiungo mshambuliaji wa Chelsea na timu ya Taifa ya Marekani Christian Pulisic (pichani)hii Leo ametajwa kma nyota wa mchezo wa mkondo wa pili wa hatua ya robo fainali ya ligi ya mabingwa barani ulaya kati ya Chelsea Vs Fc Porto
Pulisic amekuwa na mchezo mzuri hii Leo huku takwimu zikionyesha kufanyiwa madhambi Mara kumi na moja 11 hii ikionyesha kwamba footwork yake ilikuwa mzuri kwa siku ya Leo.

Kwenye mchezo mwingne

Neymar Jr (pichani),pia amechaguliwa k**a nyota wa mchezo katika mechi ya mkondo wa pili ya hatua ya robo fainali ya ligi ya mabingwa barani ulaya kati ya Fc Bayern Munich vs PSG

41'Eric Maximilian cheupo Mouting.Fc Bayern Munich wanapata ushindi dhidi ya wenyeji wao PSG ushindi ambao haujatosha ku...
13/04/2021

41'
Eric Maximilian cheupo Mouting.

Fc Bayern Munich wanapata ushindi dhidi ya wenyeji wao PSG ushindi ambao haujatosha kuwafanya kuvuka katika hatua inayofuata .Hii ni baada ya kupoteza mchezo wa mkondo kwanza kwa magoli matatu kwa mawili

Kwa nukta hii uwiano wa mechi zote mbili n 3:3
PSG WANASONGA KATIKA HATUA INAYOFUATA.
ZAIDI YA SOKA.ZAIDI YA SOKA.

Address

Muheza

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when ZAIDI YA SOKA. posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share