rmwaisongo

rmwaisongo Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from rmwaisongo, Education, Mugumu.

05/05/2024

📌Uvumilivu kazini, 📌juhudi kazini,📌hekima pamoja na 📌nidhamu ya kazi.







wetu






24/04/2024

HAKIKA YA KALE NI DHAHABU

Shairi la sungura ni shairi ambalo kila nikiliona linanikumbusha mbali sana enzi zile nikiwa darasa la tatu .

Shairi hili nakumbuka lilikuwa na beti (8)ambapo kila beti ilijitoshereza kwa vina na mizani


Tunapozungumzia ubeti(beti) si kitu kigeni kwetu katika sanaa ya kutunga tenzi ,mashairi,ngonjera, au Nyimbo(Ushairi)

kwa kuanzia na..
Shairi ni kitu gani?

SHAIRI ni utungo wenye muundo na lugha ya kisanii unaofuata utaratibu wa vina na mizani pia unaelezea hisia au tukio juu ya maisha au jambo na kufuata utaratibu maalumu wa urari na muwala.

Ndiyo.. urari na muwala,

tunaposema ''urari'' tunamanisha usawa unaotakiwa
Lakini "muwala" ni uwiano wa mizani na vina katika ubeti wa shairi kwa maana hiyo basi...

UBETI ni kifungu cha maneno katika wimbo,shairi au utenzi ambacho kimepangwa kwa mstari miwili,mitatu,minne n.k

Hebu tuone shairi la Kipindi kile miaka ya 2001.. tukiwa shuleni 🐇

21/04/2024

This song seems to emphasizing the importance of getting to know the different members of a family unit.

expresses their desire to know everyone in their family, from their parents to their siblings, no matter how young they may be😊🤰👪👶🧓🧑🥰

04/04/2024

Hellow, my name is Rashid , I've created a song to help you on how you can remember the order of the planets in the solar system.

Two or one of the first letter of each word in my song corresponds to the letter of each planet's name,

Example
'Me' stands for Mercury, 'Ve' stands for 'Venus and so on.

This is an easy and fun way to remember the order of the planets."
Start the first one to the last one

Here are  benefits of using TEACHING AIDS OF SHAPE LIKE FISH1. They increase student motivation.2. They aid in student c...
22/02/2024

Here are benefits of using TEACHING AIDS OF SHAPE LIKE FISH
1. They increase student motivation.
2. They aid in student comprehension.
3. They help students retain information.
4. They help students visualize concepts.
5. They make learning more interactive.
6. They can be tailored to different learning styles.
7. They can be used for reinforcement and review.
8. They can be used for self-directed learning.
9. They can be fun and engaging.
10. They can be used to assess student progress.

Viatu Vya maboksi kwa ajiri ya kufundishia watoto wetu wazuri wazuri  ,tucheze na tusome pamoja
07/02/2024

Viatu Vya maboksi kwa ajiri ya kufundishia watoto wetu wazuri wazuri

,tucheze na tusome pamoja

IRABU EHii ndiyo "e"eee ipo k**a sikio(jicho)eee🎶
06/02/2024

IRABU E
Hii ndiyo "e"
eee ipo k**a sikio(jicho)
eee🎶

Mtoto hupenda kujifunza kwa kuona
04/02/2024

Mtoto hupenda kujifunza kwa kuona

01/12/2023

Nikiwa niko break_time nikivuta pumzi ya kurudi tena darasani nikakutana na kesi hii ya professor wangu Asma_nuru (mwenye umri wa miaka 2½)
ambaye yupo darasa la ( pre one)

niliitatua kesi yake na kumwonesha upendo iliasiwe na wasiwasi tena ,

na pia tukapata wasaa ya kucheza pamoja lengo

01/12/2023

Kuna claud van dammee alafu kuna huyuu

"Jaydan van dammee".
Hakika ukikaa karibu na Watoto utagundua vipawa vyao na Ndoto zao za miaka ya baadae,

huyu ni
Rafiki yangu mwenye ndoto kubwa ya kuja kuwa mwanajeshi mkubwa sana hapa nchini 🇹🇿tena mwenye elimu yake,

nilipata wasaa wa kubadilishana nae mawazo hapa,
akaniambia jinsi atakavyoo wateketeza maadui ambao watakao thubutu kusogelea nchi yetu ya Tanzania🇹🇿.

ni taifa la Kesho
🇹🇿

28/11/2023

My body parties 🎶🎶

Address

Mugumu

Telephone

+255785294862

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when rmwaisongo posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The School

Send a message to rmwaisongo:

Shortcuts

Share

Category