Kibao Secondary

Kibao Secondary with me,girl is where you
belong
Just stay right here
I promise my dear i'll put
Northing above ya,
and

I can do every thing b'coz make me stronger....
:13
For all that i do is due to [LORD IS MY JUDGE]

23/04/2025

The world is filled with beautiful things such as you.

Don't wait for your feelings to take the action. Take the action and your feelings will change.🧠🧠
01/08/2024

Don't wait for your feelings to take the action. Take the action and your feelings will change.🧠🧠

27/06/2021

HABARINI ZA USIKU HUU NA JUMAPILI HII!!!!!

17/06/2021

NAWASALIMUNI NYOTE KATIKA BWANA....HABARINI ZA SIKU

02/03/2021

Habarini Wapendwa Katika Mungu Aliye Hai, Nawasalimu Nyote K**a Ishara Ya Mapendo Mazira Kwenu. Asifiwe.
Napenda Tukumbushane Kuwa zaidi ni kufunga na kuomba ili Mungu Akatuipushia Mbali Na Janga Hili. Kwani Corona Ni Moja Ya Mambo Ambayo Umetabiri Kuwa Yatatokea Ndo Haya Sasa Lakin Pia Tusiache Kuchukua Tahadhari Za Afya Na Serikali Kuu Ili Kujikinga Na Janga Hili. Asanten Sana Na Siku Njema

30/11/2020

Habarini enyi nyote...niwatakie jioni njema

19/10/2020

Habarini wapendwa..nafurahi kuona Bado muwazina Tena. Niwatakie usiku mwema

19/06/2020

NATUMAINI MU-WAZIMA NINYI NYOTE..

Mungu awajalie vijana wetu wote wa kibao sekondari ambao hivi pund e mnaenda kuyaanza maisha mapya ya elimu yenu ya KIDATO CHA TANO katika shule tofauti tofauti za Tanzania,kwani awatangulie na kuwalindeni nyote,MASOMO MEMA

17/05/2020

Habarini jamani...nadhani muwazima na maisha yanaendelea salama kabisa...lengo ni kujuliana hali kwa siku hii ya leo.

MATUMAINI YANGU WOTE MUWAZIMA WA AFYA....SIKU NJEMA

03/05/2020

MAISHA YA SASA YAMEBADILIKA SANA KWANI KITU NI TOFAUTI NA NYUMA HATA HIVYO UTU UMETOWEKA NA BINADAMU KUISHI K**A WANYAMA MAPOLINI LAKINI PIA MAGONJWA NAYO HAYAJA KAA MBALI NA SISI KWANI KILA KONA NI SHIDA MAGONJWA YA AJABU YANAJIROKEZA......kikubwa kuwa makini na maisha haya. Asante. inaua kwa kasi kujikinga na wakinge

16/04/2020

JIKINGE NA

A E I O U
A,,,acha kusalimiana kwa kushikana mikono.

E,,epuka mikusanyiko isiyo ya lazima.

I,,izuie chafya kwa kitambaa au kwa mkono.

O,,,OSHA mikono Mara kwa Mara kwa maji yanayo tiririka kwa sabuni.

U,,uonapo dalili eai kituo cha afya kilicho karibu nawe au to a taarifa kwa Namba 199.

COVID 19 INAUA JIKINGE KWA KUCHUKUA HATUA NA MKINGE MWINGINE..

28/12/2019

Habar zenu wapendwa..,....Jion njema

Address

Mufindi

Telephone

+255769435604

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kibao Secondary posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category