13/08/2021
*_HILI NI KUNDI LA WAHITIMU WA SHULE YA MSINGI LUGEMA. WEWE UKIWA MHITIMU WA SHULE YA MSINGI LUGEMA UNAKARIBISHWA KUJIUNGA NA KUNDI HILI. UKIPENDEZWA NALO BASI JIUNGE KWA KUBOFYA HAPAš_*
https://chat.whatsapp.com/BZtqQUciYhG4ZVEm33QaGA
*_KUNDI HILI LILIANZISHWA_* *_Tarehe 19/03/2016_* *_LIKIWA NA MALENGO MAKUU YAFUATAYO:_*
1. Kuwaunganisha wanakikundi kijamii kwa kiunganishi cha kusoma *shule ya msingi Lugema*,
2. Wanakikundi kusaidia maendeleo ya *shule ya msingi Lugema* kwa kushiriki shughuli mbalimbali ambazo zitakubaliwa na wanakikundi,
3. Wanakikundi kusaidiana kwenye mambo mbalimbali ambayo yatatambulika kuwa ni *kheri na shari*.
WhatsApp Group Invite