My school Tanzania

My school Tanzania Hi, students

Baraza la mitihani NECTA limetangaza kuwa tovuti rasmi zitakazo toa matokeo ya kidato hivi karibuni ni1.WWW.MATOKEO.NECT...
15/02/2014

Baraza la mitihani NECTA limetangaza kuwa tovuti rasmi zitakazo toa matokeo ya kidato hivi karibuni ni

1.WWW.MATOKEO.NECTA.GO.TZ
2.NECTA.COM

Kwa sasa tovuti ya wizara ya elimu ya WWW.MOE.GO.TZ haipo hewani

Matokeo ya kidato cha nne 2013 yanatarajiwa kutoka hivi karibuni Hii ni moja ya njia ya kuangalia matokeo yako katika si...
14/02/2014

Matokeo ya kidato cha nne 2013 yanatarajiwa kutoka hivi karibuni

Hii ni moja ya njia ya kuangalia matokeo yako katika simu ya mkononi

Undepo utakuna na Mwalimu ambaye alikupa adhabu hizi(chini), ambapo zilikuwa hazifanani na kosa lako ulilofanya utamfany...
04/01/2014

Undepo utakuna na Mwalimu ambaye alikupa adhabu hizi(chini), ambapo zilikuwa hazifanani na kosa lako ulilofanya utamfanya nini?

Ungelikuwa wewe umepewa nafasi ya kukataza/kuruhusu pair(bondi) mashuleni ungechagua nini?
03/01/2014

Ungelikuwa wewe umepewa nafasi ya kukataza/kuruhusu pair(bondi) mashuleni ungechagua nini?

Taja jina classmate wako,ambaye unafikiri primary yake alikuwa k**a hivi.
02/01/2014

Taja jina classmate wako,ambaye unafikiri primary yake alikuwa k**a hivi.

Je, hivi ni kweli "msuli paper" unasaidia?
31/12/2013

Je, hivi ni kweli "msuli paper" unasaidia?

Ni kwa nini students nyingi hazipendi kwenda Parade?
30/12/2013

Ni kwa nini students nyingi hazipendi kwenda Parade?

Address

Your Street
Mtwara

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when My school Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category