02/09/2016
mafanikio hayaletwi na mtu mmoja mmoja, bali huletwa na umoja wa watu wengi, wenye mtazamo chanya na lengo moja... Leo nimeamua nitoe maoni yangu kuhusu nini tufanye ili kwapamoja tulete mafanikio...
#1: Nadhani watu wengi tunaifahamu vizuri sana historia ya shule yetu ya mtangalanga, yapata miaka 12 sasa tangu kuanzishwa kwake, na imeshatowa wahitimu wa kidato cha nne zaidi ya mara 9 tangu kuanzishwa kwake... hivyo kupeleka uraiani kundi kubwa la watanzania waliomaliza kidato cha nne na kuendelea... lakini tujiulize, je tumenufaikaje na hii historia..
#2.. hapo kila mmoja ataleta maoni yake juu ya kile alichokiona kuwa ni manufaa kwake, lakini hayo manufaa yanaoenekana katika jamii ilotuzunguka k**a !? ... mimi nimeona, kuna kitu tunatakiwa kufanya kwa pamoja ili tulete utofauti wa kimaendeleo katika jamii yetu.. najua watu tuna mitazamo tofauti lakini pia utofauti wetu unaweza kuchakatwa ili utuletee manufaa..
#3 ushirikiano ni muhimu......