Sabasaba Secondary School - Mtwara

Sabasaba Secondary School - Mtwara who went Sabasaba school even for a day, who knows the school, who heared the school etc

YOUR PHOTO IS MISSING ON THIS POST.
23/10/2013

YOUR PHOTO IS MISSING ON THIS POST.

Ex- Sabasaba kwenye mkutano wa kupitisha katiba.
24/09/2013

Ex- Sabasaba kwenye mkutano wa kupitisha katiba.

18/09/2013

TAARIFA KWA EX-SABASABA WOTE.
MKUTANO WA KUPITISHA KATIBA YETU UNATARAJIWA KUFANYIKA JUMAMOSI YA TAREHE 21/09/2013, KWENYE UKUMBI WA RASHID MFAUME KAWAWA (CEREMONIAL DOME), ULIOKO NDANI YA UWANJA WA MAONYESHO WA MWL JK NYERERE (SABASABA) JIJINI DAR. WASHIRIKI WANAOTOKA NJE YA DAR WANARAJIA KUWASILI SIKU YA IJUMAA. MKUTANO HUU MAALUMU UNATARAJIWA KUHUDHURIWA NA WAGENI MBALIMBALI AKIWEMO MKUU WA KWANZA WA SHULE MZEE J F K MSASA. KWA WALE AMBAO HAMJATHITISHA KUSHIRIKI MNAOMBWA KUFANYA HIVYO KABLA YA SAA KUMI JIONI KESHO. K**A UNA SWALI UNAWEZA KUWASILIANA NA WAFUATAO:
1. IDD MKOROBOKO 0713458526.
2. LESLIE OMAR 0655631287.
USHIRIKI WAKO NI MUHIMU SANA KWENYE MKUTANO HUU.

05/09/2013

Kwa ex - Sabasaba walioko Dar na mikoa jirani mnataarifiwa kuwa kikao cha maandalizi ya mapokezi ya ex sabasaba wa Mtwara na maandalizi ya mkutano wa kupitisha katiba wa tar. 21/09/2013, kitafanyika J2 hii tarehe 08/09/2013 Kizota inn ndani ya uwanja sabasaba, kuanzia saa tisa alasiri. Kikao hiki ni muhimu sana.

25/08/2013
Ex - Saba saba wa Mtwara wakiwa kwenye kikao cha maandalizi ya safari ya Dar kwenye kikao cha ex sabasaba cha kupitisha ...
25/08/2013

Ex - Saba saba wa Mtwara wakiwa kwenye kikao cha maandalizi ya safari ya Dar kwenye kikao cha ex sabasaba cha kupitisha katiba mwezi ujao

15/12/2012
26/07/2012

Vipi waungwana mbona mko kimya kitambo, hamna jipya?

04/04/2012

WADAU WA SABASABA SEKONDARI, NAPENDA KWA MARA NYINGINE TENA KUWAFAHAMISHA KUWA KIKAO CHA EX- SABASABA WALIOKO DAR KITAFANYIKA SIKU YA JUMATATU YA TAREHE 9/4/2012 KIZOTA INN KUANZIA SAA TISA NA NUSU ALASIRI. NAOWAOMBA TUHUDHURIE KWANI KIKAO CHA TAREHE 31/4/2012. HAKIKUWEZA KUFANYIKA KUTOKANA NA MAHUDHURIO HAFIFU. NAOMBA PIA TUPEANE TAARIFA.

30/03/2012

KESHO NI JUMAMOSI, NAPENDA KWA MARA NYINGINE TENA JUU YA KIKAO. MUDA NI ULE ULE SAA 9.30 ALASIRI. TUHUDHURIE WOTE TAFADHALI.

Address

Mtwara

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Sabasaba Secondary School - Mtwara posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category