SAUT- Mtwara

SAUT- Mtwara To bring all students together and sharing our knowledge.

27/11/2015

Karibu sana watu wote katika Mahafali ya 4 ktk chuo kikuu cha STEMMUCO itakayofanyika cku ya tar. 4 December 2015.

19/08/2015

Matokeo yametoka muda huu na yamebandikwa notice boad ya diapensary. kwa ujumla yanaridhisha na kwa mwaka wa tatu mpigie 0712001875 atakupa matokeo yako.

10/08/2015

UE RESULT RELEASED ON THIS WEEK.

07/08/2015

Uongozi wa chuo cha STEMUCO na ofic ya mitihan unatarajia kutoa matokeo ya mitihan kabla ya tar. 15 mwezi huu.

01/07/2015

Mitihani mema wapendwa.

17/05/2015
17/05/2015

Zoezi la uandikishaji wa Vitambulisho vya Uraia vinaendelea STEMMUCO. Wahi sasa bila kukosa maana ni muhimu sana kwako. Mjulishe na mwenzio.

28/04/2015

Ndugu wana-STEMMUCO mnatakiwa kuwa makini muwapo mazingira ya chuo na nje pia kwa usalama zaidi. Utakapo muoana mtu unayemtilia mashaka huna budi kutoa taharifa sehem husika.

03/04/2015

Niwatakie mapumziko meme ya Pasaka, Mungu awabariki na kuwalinda.

26/08/2014

Ni likizo time people twala bata baada kutoka field but soon we shall begin ze new year of study. So let us celebrate as kwa uangalifu zaidi.

Address

Mtwara

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when SAUT- Mtwara posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category