From SOUL to the GOAL

From SOUL to the GOAL Finding Life purpose

Moyo huandika!!Na kinachoandikwa na Moyo huweza kusomwa na moyo tu.Ukitumia macho huwezi kusoma kilichoandika na moyo!!W...
22/04/2024

Moyo huandika!!
Na kinachoandikwa na Moyo huweza kusomwa na moyo tu.
Ukitumia macho huwezi kusoma kilichoandika na moyo!!
Wengi hawaoni ulichoandika kwa moyo wako sababu wanatumia macho kusoma!
Siku ukikutana na mwenye moyo unaoweza kusoma utashangaa wale waliokuwa wanasema hawaoni ulichoandika.
Nisikilize sasa nikunasue mahali..
1.Sio kaz yako kuwafundisha watu wasome ulichoandika moyoni...mwenye moyo wake ataona tu.
2. Wasioona ulichoandika ,tatzo si lako. Ni la upofu wa mioyo yao! Sasa endelea kuhangaika nao k**a una hospitali ya kufanya opereshemi za mioyo, k**a huna unafanya nini?
3. The Greatest heart ni Mungu, usijali ....yeye anaona. Endelea kuandika kwa moyo na muumba mioyo atakuunganisha na moyo/mioyo sahihi.
Subira is key.
****
Usiumie moyo.
Keep writting.

16/12/2022

Nyuma ya Maumivu yako kuna Bundle la Muujiza.
Maumivu ni daraja la Muujiza.
Wengi kwa kutojua, tuko bussy kuvunja daraja badala ya kuliacha ili lipitishe mabehewa ya baraka zetu.
UNAJUA KWANINI TUNAVUNJA?
Kuna kanuni za uvunaji wa baraka kwenye shamba la maumivu wengi hatuzijui.
Kwenye hii training inayoanza Jnne 20, Nitakufundisha kanuni 50 tofauti za uvunaji. Hii ni online training ya wiki 2. Hii ni best training package yangu niliyoifudisha 2022, imeleta mapinduzi sana.
Ni Training ghali, lakini nimetamani usiikose kabisa ndio maana ya kuifanya kuwa elfu 10 tu.
Kujisajili Text neno Mafunzo whatsaap 0755633711.
Huu ni uwekezaji bora utakaofanya kwa 2022 na 2023.
Sikiliza sauti yako ya ndani na chukua hatua. Ni darasa la watu wachache.

Helooo
07/06/2022

Helooo

09/01/2021

Future yetu iko NDANI mwetu, safari ya kuivumbua imeanza sasa

Address

Mtwara
63000

Telephone

+255755633711

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when From SOUL to the GOAL posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category