Mtwara College of Health and Allied Science-"Mcohas"

Mtwara College of Health and Allied Science-"Mcohas" NACTE

Kwa maelezo zaidi kuhusu chuo Cha Mtwara COHAS tembelea website ya chuo
15/10/2022

Kwa maelezo zaidi kuhusu chuo Cha Mtwara COHAS tembelea website ya chuo

Welcome to Mtwara COHAS NEWS: SELECTED STUDENTS FOR ACADEMIC YEAR 2022/2023 Selected students for Ordinary Diploma in Clinical Medicne 2022.23 Selected students for Ordinary Diploma in Nursing and Midwifery 2022.23Selected Students for Ordinary Diploma in Pharmaceutical Sciences 2022.23 Selected Stu...

Baadhi ya wanachuo wa Mtwara Cohas wakiwa katika picha ya pamoja na Miss Tanzania 2022/2023 Halima Kope katika tukio la ...
15/10/2022

Baadhi ya wanachuo wa Mtwara Cohas wakiwa katika picha ya pamoja na Miss Tanzania 2022/2023 Halima Kope katika tukio la uchangiaji damu salama lililofanyika katika viwanja vya mashujaa park siku ya 'Nyerere day'.

Hongereni wahitimu wa level zote Mtwara Cohas kwa matokeo mazuri.
15/10/2022

Hongereni wahitimu wa level zote Mtwara Cohas kwa matokeo mazuri.

07/10/2022

Hongereni wanafunzi wote mliochaguliwa Mtwara college of health and allied science 2022/2023.

Kwa maelezo zaidi kuhusu chuo Cha Mtwara COHAS tembelea website ya chuo
07/09/2021

Kwa maelezo zaidi kuhusu chuo Cha Mtwara COHAS tembelea website ya chuo

Welcome to Mtwara COHAS TAARIFA.! WANAFUNZI WOTE WA MTWARA COHAS Chuo kitafunguliwa tarehe 03/10/2021 kwa wanafunzi wote wa mwaka wa kwanza ambao wamechaguliwa na kupata fursa ya kujiunga na chuo, hivyo tunawakaribisha sana Mtwara COHAS na tunataraji utatimiza maelekezo yaliyopo kwenye Joining Instr...

04/09/2021

Habari ya asubuhi!
Naomba kuwataarifu kuwa chuo kitafunguliwa rasmi tarehe 3 October 2021 kwa wanafunzi wa mwaka wa kwanza na tarehe 18 October 2021 kwa wanafunzi wote wa mwaka wa pili na wa tatu. Mnakumbushwa kufanya maandalizi mapema ili kurejea chuoni kwa wakati.
Maelekezo zaidi tutawapatia.
Niwatakie likizo njema.

28/08/2021

Taarifa.

Kwa walifanya maombi ya vyuo kupitia nacte , majina ya waliochaguliwa vyuo mbalimbali vya afya yametoka leo hii, hivyo mnaaswa kuangalia mapema kujua umepangiwa chuo gani, Ahsante.

13/04/2021

Pharmacy Level5 & 6 muwe na mafunzo mema huko field.

13/04/2021

Clinical medicine Level 6 mnaokwenda Field, Mungu awaongoze Mkawe na Mafunzo mema!

PaLm club nao waligraduate!,  congratulation to you all!
17/10/2020

PaLm club nao waligraduate!, congratulation to you all!

Clinical medicine Graduation., Hongereni sana!
17/10/2020

Clinical medicine Graduation., Hongereni sana!

Hongereni sana wahitimu kada ya Famasia MCOHAS
24/09/2020

Hongereni sana wahitimu kada ya Famasia MCOHAS

Address

Ligula
Mtwara

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mtwara College of Health and Allied Science-"Mcohas" posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share