23/12/2025
*π« TANGAZO LA NAFASI ZA MASOMO β OOLA ACADEMY & SECONDARY SCHOOL KWA MWAKA 2026 π’*
*OOLA ACADEMY (Pre & Primary School)*
π Ipo Kigongoni β Kata ya Eslalei, Wilaya ya Monduli.
β
Masomo kwa lugha ya Kiingereza
β
Somo la Kifaransa
β
Walimu wenye weledi
β
Malezi bora ya kiroho na kiadili
β
Kutwa & Bweni (Wasichana na Wavulana)
β
Ada nafuu & usafiri wa uhakika
*OOLA SECONDARY SCHOOL (Kidato cha Kwanza hadi cha Nne)*
π
β
Mitaala ya kitaifa (NECTA)
β
Mazingira salama ya kujifunzia
β
Malezi yenye maadili na nidhamu
β
Elimu bora na inayolenga mafanikio
β
Walimu waliobobea
β
Bweni kamili kwa wavulana na wasichana
π― *Nafasi za masomo kwa mwaka 2026 zimefunguliwa rasmi!*
π Karibu uandikishe mwanao kwa elimu bora, mazingira rafiki na mwongozo wa maisha ya mafanikio.
π *Wasiliana nasi kwa maelezo zaidi na usajili:*
Mkuu 0766 224 824
Mhasibu 0717 200 471
*π OOLA ACADEMY & SECONDARY β Taa ya Maarifa kwa Kizazi cha Leo! π*