Chuo cha Maendeleo ya Wananchi Mto wa Mbu

Chuo cha Maendeleo ya Wananchi Mto wa Mbu Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Chuo cha Maendeleo ya Wananchi Mto wa Mbu, Trade school, Mto wa Mbu.

Skills Development in various Sector trades:
# Cookery
# Cultural Tourism
# Electrical Installations
# Early Childhood Education
# Animal Husbandry
# Automotives
# Plumbing
# Tailoring

08/08/2025
Ujio wa Mwenge wa Uhuru 2025
11/07/2025

Ujio wa Mwenge wa Uhuru 2025

Siku ya Mei Mosi ndani ya Ngorongoro crater
02/05/2025

Siku ya Mei Mosi ndani ya Ngorongoro crater

Watumishi wa Chuo ndani ya Ngorongoro crater
02/05/2025

Watumishi wa Chuo ndani ya Ngorongoro crater

Mkufunzi wa Ufugaji, Madam Anna Maeda akifafanua Mada ya Matibabu ya Mifugo (kuku) kwa Washiriki wa Kozi Fupi ya Ufugaji...
18/04/2025

Mkufunzi wa Ufugaji, Madam Anna Maeda akifafanua Mada ya Matibabu ya Mifugo (kuku) kwa Washiriki wa Kozi Fupi ya Ufugaji wanaofadhiliwa na Maasae Girls Secondary School ya Monduli

Chuo cha Maendeleo ya Wananchi Mto wa Mbu kimeingia makubaliano ya kushirikiana na Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Ma...
27/03/2025

Chuo cha Maendeleo ya Wananchi Mto wa Mbu kimeingia makubaliano ya kushirikiana na Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Maasae Girls, iliyopo Wilayani Monduli.

Kupitia makubaliano hayo, Chuo kimepewa kazi ya kuwasaidia Wasichana waliohitimu Kidato cha Nne shuleni hapo kupata mafunzo ya miezi sita ya kukuza Ujuzi katika Fani za Ushonaji, Upishi wa Hotelini na Unenepeshaji wa Mifugo.

Pamoja na hayo, washiriki wa mafunzo watafundishwa somo la Matumizi ya Computer

10/03/2025

Esp Tanzania and FDC Mto wa Mbu commemorating International Women's Day in Arusha

Address

Mto Wa Mbu

Telephone

+255754074684

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Chuo cha Maendeleo ya Wananchi Mto wa Mbu posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The School

Send a message to Chuo cha Maendeleo ya Wananchi Mto wa Mbu:

Shortcuts

Share

Category