22/09/2025
Pamoja Tunaweza Kuzuia Kichaa cha Mbwa! ππ
Wanafunzi wote wa Chuo cha VISELE na jamii nzima ya Mpwapwa Mjini, tunawaletea fursa adhimu ya kushiriki katika kampeni kubwa ya chanjo ya Kichaa cha Mbwa!
Tarehe 28 Septemba, 2025, ni Siku ya Kichaa cha Mbwa Duniani. Kwa kushirikiana na ANIMAL SMILE AFRICA, Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa na TAWESO, Visele Livecrop Skills Training Centre inakuletea zoezi la UTOAJI WA CHANJO BURE kwa mbwa wote!
π Mahali: Mnara wa Mashujaa, Mpwapwa Mjini
β° Muda: 28 Septemba, 2025 β Saa 08:00 Asubuhi hadi Jioni
KWA WANAWAFUNZI MNAOTOA HUDUMA:
Kutakuwa na mafunzo maalum (briefing) tarehe 27 Septemba, 2025, Saa 04:00 Usiku, chuoni Visele. Usikose!
JIANDIKISHE SASA KUSHIRIKI!
Ikiwa ungependa kujitolea kutoa huduma katika zoezi hili muhimu, tafadhali jisajili kupitia link hii: π bit.ly/viselevolunteer2025
USIAJILI UFANYIKE KABLA YA ALHAMISI, 25 SEPTEMBA, 2025!
Karibuni wote tushirikiane katika kulinda jamii yetu na wanyama wetu wapendwa. Kila mmoja ana mchango!