
Kati u Tawala Mkoa wa Manyara katikati mwenye nguo nyekundu juu (mama) , DED Simanjiro (kaunda suti) Afisa Elimu Taaluma Mkoa, DEO sec na walimu wa msitu wa Tembo sec katika picha ya pamoja
Msitu wa Tembo secondary school is a community school which was established in the year 2005. It iss
Operating as usual
Kati u Tawala Mkoa wa Manyara katikati mwenye nguo nyekundu juu (mama) , DED Simanjiro (kaunda suti) Afisa Elimu Taaluma Mkoa, DEO sec na walimu wa msitu wa Tembo sec katika picha ya pamoja
Wanafunzi wameanza mitihani yao ya katikati mwaka leo (terminal exams).
Vijana wakifanya Mid-term test, leo March 11, 2022.
Unasemaje? Nimepata sifuriii???
Matokeo f4 2021 hayo hapo hongereni mliopata Div 1 ya 8pts na wengine mliofaulu
Leo tarehe 10 Dec. tumefunga shule kwa kuahirisha masomo hadi tarehe 17 Jan 2022. Tunawatakia wanafunzi wetu likizo njema na sikukuu njema za xmas na mwaka mpya 2022.
Tuwatakie kila la kheri vijana hawa wanaoenda kuanza mitihani yao ya kidato cha nne CSEE jumatatu tarehe 15 November 2021.
Wanafunzi wa kidato cha 1 wakiendelea na mmitihani yao mid tern test kwa siku ya 4 mfululizo
Wanafunzi wa kidato cha nne wakiendelea na mitihani ya pre-mock hii leo
Wanafunzi wa kidato cha 2 wakiwa na mwenzao Samweli Augustino ambaye amekuwa akiugua tangu Septemba 2020.
Zoezi la kuotesha miti linaendelea. Tuzitumie vizuri mvua za masika.
Wanafunzi wakiwa shuleni wakati wa likizo kuhudhuria zamu za usafi wa mazingira.
Leo tumeahirisha masomo kwa ajili ya likizo ya Pasaka. Wanafunzi wa hostel wataondoka shuleni kesho kwenda majumbani kwao.
Ile kampeni ya uboreshaji na utunzaji wa Mazingira niliyoianzisha mwaka jana naona inaendelea vizuri. Matunda yameanza kuonekana. By Mr. Mtallo...the environmentalist
Wanafunzi wameanza mitihani yao ya ktkt ya muhula wa kwanza jana. All the best.
Mzee Dani akiwasilisha taarifa ya mapato na matumizi ya kamqti ya chakula kwa wazazi.
Kikao kinaendelea. Wazazi shuleni.
Kikao cha wazazi kinaendelea shuleni muda huu.
Wanafunzi wakipatiwa mawaidha na mwalimu wa nidhamu
Maandalizi ya kuwapokea wanafunzi wa kidato cha 1 yanaendelea vizuri. Madarasa 2.na ofisi yapo hatua ya umaliziaji (finishing)
Msitu wa Tembo inawatakia heri ya Xmas wadau wote.
Wanafunzi wa kidato cha 3 wakiwa katika mitihani yao ya mwisho mwaka
Roots and Shoots wakikabidhi vitabu vya utunzaji wa mazingira na rola ya viriba kwa Patron wa club Mwl Mtallo.
Leo tumebahatika kutembelewa na wadau wa mazingira kutoka roots and shoots toka ofisi za Arusha na Moshi. Wanefika shuleni kuona shughuli tunazozifanya kwenye utunzaji wa mazingira.
Kazi inaendelea. Maandalizi ya msimu wa masika. Tunaandaa miche ya miti.
Habari za jioni wanajumuiya ya Msitu waTembo. Napenda kuwapongeza kwa juhudi mnazofanya katika kulitumikia taifa na jamii ya watanzania. Aidha, wakati mkiendelea kutekeleza majukumu yenu nawaomba mkumbuke shule yetu. Mrudi nyuma kuangalia mlipotoka ili muweze kushiriki kutatua changamo mbali mbali zinazoikabili shule yetu ikiwa ni pamoja na upungufu mkubwa wa viti na meza darasani, vitabu, mabweni, vitanda, magodoro, maktaba, maabara, vifaa vya maabara n.k. wadogo zenu hapa wanatamani kutimiza ndoto zao katika maisha k**a ninyi au zaidi ya ninyi. Wanahitaji msaada wako sasa kuliko wakati mwingine wowote. Kwa atakayeguswa wasiliana nami kwa namba 0717162185; 0678899292(calls and sms) na 0629949854-WhatsApp
Kikao cha darasa kwa wanafunzi wa kidato cha tatu kimefanyika leo. Walimu wa madarasa haya tumewasikiliza, tumewashauri na kukubaliana mambo mengi ikiwa ni maandalizi ya ufaulu wakifika kidato cha nne.
Mradi wa uboreshaji mazingira shuleni unaendelea. Wanafunzi wa club ya mazingira wakiandaa kitalu cha miti na kutunza miti iliyokwisha oteshwa. Kwa hisani kubwa ya Mwalimu Mtallo.
Form four mock exams are on the move...day 2.
Wanafunzi wakiendelea na mitihani yao ya katikati ya mwaka ikwa leo ni siku ya nne
Students sitting for their terminal exams on Monday August 24th, 2020
Students at morning parade on tuesday 18th August 2020
Students at morning parade on Monday 6th July 2020
Wanafunzi wote na walimu wa Msitu wa Tembo sekondari tunawakaribisha tena shuleni kuendela na masomo baada ya likizo ndefu ya Covid-19, jumatatu asubuhi. Karibuni saana.
Tunazalisha na kuuza miche ya mipapai ya kisasa hapa shuleni. Bei ni Tshs 2,000/=
Mradi mkubwa wa kuboresha mazingira ya shule yetu. Mradi unafadhiliwa na kusimamiwa na mimi mwenyewe Mr. Mtallo. Wakati wanafunzi wapo likizo mimi napanda miti shuleni.
Msitu wa Tembo staff members
Mwonekano wa Msitu wa Tembo sekondari kutokea angani
Academic Core Values Collaborative Communication Creative Thinking Creative Problem Solving Global C
New life academy ni shule inayopokea na kusajili watoto wadogo wenye umri wa mwaka 1 mpaka 4. Shule
Empowering youths with skills in agriculture and livestock keeping, Creating employment opportunitie
At La Mennais V.T.C we educate disadvantaged youths in order to equip them with the needed skills to
In this page we posted videos related to study regarding competitve exams.
Little Acorns Pre & Primary School, is a haven thats created for little angels to feel home away fro
Opportunity Education enables students to gain the knowledge and skills they need to succeed in work
Rising Star College offers education in various courses including Secretarial course, I T Tailoring
A platform where Physics and Biology students,teachers and lovers can share ideas,concepts,experienc