KVTC

KVTC

Kibosho Vocational Training Centre Introducing Kibosho Vocational Training Centre:

We are here for students who want to learn a trade. Come and join us to learn about electricity, tailoring, agriculture and animal husbandry, masonry and bricklaying and motor vehicle mechanics.

Besides vocational training in VETA, we offer many short courses in agriculture as well as computer skills and English. We conduct one year technical training courses in mentioned courses above awarded with a KVTC certificate. We are here for Kibosho youth and other interested people from Kibosho, small farmers, women groups. COME AND JOIN US. VISIT US. WE ARE ACROSS SOM SOM SECONDARY.

Operating as usual

Photos from KVTC's post 26/08/2021

This is KVTC, proud fundis, good food, excellent education and special classes. Come and join us, karibu!

22/07/2021

Our beloved Anna Mgwira has left this world. We are so sad. May she rest in peace. We remember her as fighter for unprivileged young people, especially girls. Her uplifting humor and positivity is a lesson for all of us. We will miss you dearly.💔🙏

Our beloved Anna Mgwira has left this world. We are so sad. May she rest in peace. We remember her as fighter for unprivileged young people, especially girls. Her uplifting humor and positivity is a lesson for all of us. We will miss you dearly.💔🙏

Photos from KVTC's post 28/06/2021

JULY INTAKE KWA MWAKA 2021.
Chuo cha ufundi kibosho (KVTC) ni chuo cha wananchi wa tarafa ya Kibosho Moshi. Chuo kimesajiliwa na VETA kwa namba VET/KLM/PR/2015/C/077.
Chuo kinatoa mafunzo kwa wanafunzi wa kutwa na bweni wa jinsia zote, kuanzia mwenye elimu ya msingi na kuendelea. Ada zetu ni nafuu sana kwa wanafunzi wa
kutwa ada ni 680,000Tsh kwa mwaka na bweni 980,000Tsh kwa mwaka. Ada hizi unaweza kulipa kwa awamu nne kwa mwaka (ada inapokelewa kidogo kidogo kadiri unapopata kwa makubaliano maalum).
Yapo mafunzo ya ufundi yanayotolewa kwa wanafunzi wasiopendelea kufanya mtihani wa Taifa (Wanaotaka ujuzi pekee) hupatiwa vyeti vya chuo na sio vya VETA, ada yao kwa mwaka ni 470,000Tsh Kutwa na 980,000Tsh kwa bweni.
Kozi za VETA kwa wanaopenda kupata vyeti vya taifa na kuweza kuendelea na elimu ya juu, husomwa kwa miaka miwili hadi mitatu kozi hizo ni k**a zifuatazo;
1. Umeme wa majumbani na kusuka mota (EL)
2. Ufundi wa magari (MVM)
3. Uashi/Ujenzi(MB)
4. Ushonaji (DSCT)
5. Udaktari (Utaalam) wa mifugo.
Kozi zote hizi kasoro utaalam wa mifugo zinatolewa kwa wanafunzi wasiohitaji vyeti vya elimu ya veta k**a ilivyofafanuliwa hapo kwa ada ya 470,000Tsh kutwa na 980,000Tsh kwa bweni. Aidha unaweza kupata mafunzo hayo kwa muda mfupi mwezi mmoja hadi mitatu kwa vipengele utakavyovihitaji.
Vilevile chuo chetu kinatoa mafunzi ya muda mfupi (mwezi mmoja hadi mitatu) katika ujuzi wa;
1. Kilimo cha nyasimaji hydroponics fodder
2. Ufugaji wa nguruwe
3. Ufugaji wa kuku aina zote na sungura kwa njia za kisasa
4. Lugha ya kiingereza
5. Computer maintenance
6. Computer application
7. Ushonaji
8. Kilimo cha mboga na matunda
9. Pre form one
10. Ujasiriamali etc
CHUO PIA KINATOA HUDUMA MBALI MBALI K**A
1. Kufunga mfumo wa umeme majumbani (wiring) kwa bei nafuu sana
2. Kufanya matengenezo wa vifaa vya umeme na mashine
3. Kufanya matengenezo ya mfumo wa umeme wenye shida majumbani
4. Huduma za kutengeneza magari na na car diagnosis
5. Ujenzi wa nyumba, vyoo, majiko nk.
6. Matibabu ya mifugo na ushauri wa kitaalam
7. Ushonaji wa nguo mitindo yote tunapokea tenda kubwa na ndogo
8. Tunaandika project proposal na business plan
9. Tunajenga mabanda ya mifugo ya kisasa kwa rasilimali za asili na kwa bei nafuu
10. Tunauza mayai kwa jumla na reja reja
11. Tunauza mboga mboga k**a Nyanya, Ngogwe, biringanya, pilipili hoho, mboga za majani n.k
12. Tunauza maziwa fresh kwa bei nafuu lita 800Tsh.
13. Tunajenga kitalu banda kwa uzalishaji wa nyasi maji
14. Tunatengeneza na kuuza mizinga.
15. Tunauza miche ya mboga mboga na matunda
KWA MWAKA 2021 TUMEANZA KUSAJILI INGIZO LA JULAI TUTAFUNGUA CHUO TAREHE 19/07/2021 TUKIWA NA WATAALAM WALIOBOBEA KARIBU NAFASI NI CHACHE. Karibu tukuhudumie njoo tuzungumze.
Daniel Mboya,
Mkuu wa chuo
[email protected]
0759/0653 381416

Photos from KVTC's post 19/02/2021

Jumamosi ya tarehe 16/02/2021 majira ya mchana, wanafunzi wote na wafanyakazi walikusanyika katika banda la kuku kwa ufunguzi rasmi wa mradi wa kuku pamoja na banda la kisasa lililojengwa kwa mianzi.

Sherehe yetu ilianza kwa kukabidhi fulana na kofia zenye nembo ya KVTC kwa meneja uzalishaji ndugu Jonh Massawe. Kuanzia sasa k**ati ya uzalishaji inatambulika k**a Idara ya kati ya idara mbili zilizopo chuoni kwetu. Idara hii itashughulikia mashamba ya chuo pamoja na mifugo ya chuo.

Ndugu Jonh pamoja na timu yake ya watu 7 wamekuwa wakishirikiana vizuri katika majukumu yao ya shamba na kilimo na hii imepelekea kiwango cha uzalishaji ndani ya chuo kupiga hatua siku kwa siku. Aidha, mipango ya mapato wanayotakiwa kufikia katika kipindi tulichonacho, imekuwa ni sababu nyingine ya bidii yao kuongezeka kila siku.

Hata hivyo, timu ya uzalishaji ilipata nafasi ya kuongea na watu wote waliokuwepo mahali apo na katika mazungumzo yao walielezea lengo la mradi huo pamoja na faida zitakazoletwa na ushirikiano baina ya wanafunzi na wafanyakazi wengine katika miradi wanayoisimamia.

Pia, walilielezea banda walilolijenga na kuonyesha jinsi walivyotengeneza mfumo wa maji (bomba la bluu) na mfumo wa chakula k**a inavyoonek**a kwenye picha.
Katika kuhitimisha uzinduzi, Mkuu wa chuo Ndugu Daniel Mboya alipata nafasi ya kuongea kwa kuhitimisha shughuli hii. Katika mazungumzo yake, mbali na kuipongeza idara ya uzalishaji bali pia alisisitiza umuhimu wa kila mtu kufanya wajibu wake kwa wakati ili kukisaidia chuo kufika mahali kinapotarajia kwa wakati.

Mwisho, timu ya uzalishaji walipata nafasi ya kushiriki chakula kilichoandaliwa pamoja na vivywaji baada ya uzinduzi wa mradi wao. Tukio hili lilifuatana na upigaji wa picha ya pamoja k**a Idara ya uzalishaji KVTC na huu ndio ulikuwa mwisho wa sherehe yetu.

Karibu KVTC.

27/12/2020

Herini ya sikukuu ya Noeli. Habari wapendwa marafiki na wahitimu wa chuo chetu, tunapenda kuwatangazia tumeanza usaili wa wanafunzi kwa mwaka wa masomo 2021. Karibuni na tusaidie kuwatangazia na watu wengine kuja au kuwaleta vijana wao kujiunga na chuo chetu pendwa.

Herini ya sikukuu ya Noeli. Habari wapendwa marafiki na wahitimu wa chuo chetu, tunapenda kuwatangazia tumeanza usaili wa wanafunzi kwa mwaka wa masomo 2021. Karibuni na tusaidie kuwatangazia na watu wengine kuja au kuwaleta vijana wao kujiunga na chuo chetu pendwa.

24/12/2020
25/05/2020

Uongozi wa chuo unakutangazia kurudi chuoni kuendelea na masomo kwa mujibu wa maelekezo ya serikali. Wanachuo wote wa bweni wanatakiwa kuwasili chuoni tarehe 31/05/2020 na wanachuo wote wa kutwa wanatakiwa kufika chuoni tarehe 01/06/2020.
Aidha siku ya kuwasili chuoni hakikisha umezingatia yafuatayo ili kusajiliwa kuendelea na masomo:-
1. Fika na ada iliyosalia ya muhula, vinginevyo hutapokelewa chuoni
2. Njoo na barakoa zaidi ya 3
4. Njoo na sabuni ya maji ya kunawia.
5. Ikiwa afya yako si njema hasa dalili za korona jitibu kwanza
6. Ukishapokelewa chuoni hakuna tena kutoka ndani ya mazingira ya chuo.
7. Njoo na mahitaji yako yote ya muhimu ikiwemo vyombo vya kulia (sahan ya bati).
8.Njoo na vifaa vyako vya mazoezi na kujifunzia. UTAWALA KVTC.

15/05/2020

KVTC FARM MAY 2020 final.mp4

07/05/2020

ProjectTanzania.nl

We kunnen weer wat doen, het is even droog na anderhalve dag en nacht regen. De aanhangwagen komt uitstekend van pas, hup farmers🙂!

[05/01/20]   Hello wapendwa wanafunzi wa KVTC, wanafunzi wote wa zamani na wa baadaye. Nyinyi nyote? Salama na afya? Tunatumahi hivyo! Wafanyikazi wa KVTC bado wanaendesha shule hiyo k**a shamba. Na tunafanya vizuri, kila siku kwenye ardhi ukilinda mahali hapa pazuri hata nyinyi nyote mnarudi. Tuma kudos kwa wafanyikazi wetu / wakulima tafadhali!

01/05/2020

Hello beloved KVTC students, all former and future students. How are you all? Safe and healthy? We hope so! KVTC staff is still running the school as a farm. And we are doing well, every day on the land safeguarding this beautiful place untill you all return. Send kudos to our workers/ farmers please!

31/03/2020

Dear KVTC students, where ever you are we do hope you are okay, healthy and safe! Our school is a farm now and our staff have become farmers. We are taking well care of the work you have started. Please stay safe so that we can be together again!

08/03/2020

BBC News Africa

"I am going to show that females are not the weaker s*x."

15-year-old Fatima Zahra Binta Jaffar Jalloh from Sierra Leone has big plans for herself - as well as her students. She's one of the amazing young women we're celebrating this Women's Day!

21/02/2020

Come and join us! We are still open for new intake!

21/11/2019

2019 Graduation Day was wonderful!

[06/27/19]   Habari sasa unaweza kufanya maombi chuoni moja kwa moja kutipia mfumo wetu wa online application nenda kwenye link https://kvtctz.com/online-application na ujaze form.
#k**a utapata shida yoyote toa taarifa kupitia namba zifuatazo 0745517500 au email [email protected]
#system developer & engineer
#Benjamin maudy
Ahsante
Karibuni KVTC!

[06/25/19]   Sasa unaweza kupata fomu za kujiunga na chuo cha ufundi kibosho kupitia tovuti ifuatayo www.kvtctz.com na nenda katika ukrasa wa admission au tumia link hii https://kvtctz.com/admisssion
Karibuni sana KVTC

22/06/2019

KVTC is open for new July intake and a new technology: hydroponics! Come and join us!

09/05/2019

Curious? Find out more for hydroponics at KVTC! We are open for new students intake

21/12/2018

KVTC is open for new January 2019 intake:

KUHUSU KVTC
USAJILI VETA CHETI NAMBA: VET/KLM/PR/2015/C/077

UTANGULIZI
Chuo cha ufundi Kibosho (KVTC) ni chuo kilichosajiliwa na VETA na kinachomilikiwa na wananchi wa tarafa ya Kibosho. Chuo hiki kimejengwa kwa lengo la kuunga mkono juhudi za serikali za kujenga vyuo kila wilaya kwa lengo la kuondoa umaskini katika jamii.hususani watu wa kibosho na maeneo ya jirani . Kwa kutoa mafunzo yenye tija katika ushindani na masoko.

LENGO MAHUSUSI
Kuwa chuo au kituo chenye kiwango cha kutoa mafunzo bora, kuwawezesha vijana kupata ujuzi na kukuza vipaji katika ubunifu,uwajibikaji na kupata mafunzo bora.

LENGO
Chuo cha ufundi Kibosho Umbwe kinataka kuwaandaa wataalamu wake wa umri wa kati katika mafunzo ya ufundi mbalimbali, kukuza vipaji vya walengwa katika mafunzo bora ya ufundi ambayo yatasaidia uzalishaji katika viwanda na kujitegemea katika ujasiliamali, kuwapa watu muamko wa kubuni mbinu mpya za maendeleo katika jamii na kuwajengea uwezo wa kuwasiliana.

MAHALI
Chuo kipo katika kijiji cha Umbwe Onana kata ya Kibosho Magharibi, kutoka manispaa ya Moshi mjini ni umbali wa kilomita 22 kwa kufuata barabara ya Kibosho Umbwe, Chuo kipo jirani na Mlama Sekondari, Umbwe Sekondari, na Som Som Sekondari.

MAFUNZO YANAYOTOLEWA
Muda mrefu miaka 2-3 = cheti chini ya VETA
 Umeme wa majumbani na usukaji mota
 Ushonaji
 Mifugo
 Uashi
 Ufundi Magari

KUANZIA JANUARI 2019
Kozi za mwaka mmoja kwa wanafunzi walioishia darasa la saba, ada ni 470,000/= Itakayo lipwa kwa awamu. 250,000/= januari na 220,000/= mwezi wa saba. Ni kwa nwanafunzi wakutwa tu Cheti cha taasisi ya elimu ya watu wazima kitatolewa

Kozi hizo ni:
 Umeme
 Ushonaji
 Ufundi Magari

MASOMO YA ZIADA
 Ujasiri amali
 Kiengereza na mawasiliano
 Hisabati
 Technical Drawing
 Somo la computer na internet
 Stadi za maisha
 Sayansi ya Uhandisi
 Hydroponi

Masomo ya muda mfupi mwezi mmoja hadi miezi sita Cheti cha KVTC kitatolewa
 Computa
 Kiengereza
 Hydroponi
ADA 2019—2020

2019-2020 Kutwa kwa Mwaka 680,000/=
Bweni kwa mwaka 980,000/=
Mafunzo na chakula na michango mingine*
* sare, ukarabati, daftari la maendeleo, kitambulisha

ADA YAWEZA KULIPWA MARA NNE
Muda kutwa Januarie 250,000/= bweni Januarie 350,000/=
Baada ya likizo ya pasaka kutwa 100,000/= bweni 150,000/=
Baada ya likizo ya julai kutwa 250,000/= bweni 350,000/=
Septemba/ Oktoba kutwa 80,000/= bweni 130,000/=
JUMLA TSH 680,000/= 980,000/=

KUJIUNGA / SIFA
Mwombaji anatakiwa awe amehitimu kidato cha nne na kuendelea kwa mafunzo ya muda mrefu na awe mwenye umri wa kuanzia miaka kumi na tano na kuendelea kwa kozi za VETA, Usaili kwa kozi ya mifugo. Mwombaji anatakiwa awe na pasi tatu, lakini moja iwe ya somo la sayansi. Kwa mafunzo ya ufundi wa mwaka mmoja awe amehitimu darasa la saba mafunzo ya kutwa. Hakuna masharti kwa mafunzo mengine ya muda mfupi.

UPATIKANAJI WA FOMU
Fomi zinapatikana chuoni, ofisi zote za kata na vijiji vya tarafa ya Kibosho ,Parokia zote za kibosho, Makanisa ya KKKT Ya Lyamungo, Moshi Bookshop, Parokia ya Kijenge–Arusha, Msimbazi Centre Dar es Salaam, Parokia ya Mererani, Kupitia mtu aliyekupa kipeperushi hiki au kwa WhatsApp namaba 0755468466. Karibu KVTC !

KWA MASWALI ULIZA
+255 (0) 762 454 432 AU +255 (0) 716 191 917

10/11/2018

Photos from KVTC's post

[11/10/18]   Graduation Day 2018 KVTC, impression in pictures. It was a great day :)

10/11/2018

Graduation Day 2018 KVTC :)

09/09/2018

This is what you can learn in Tailoring! Come and join us. We also provide a short 1 year technical training course in Tailoring and Electrical, starting 24 of September for day scholars/ standard 7 leavers for only 470,000/= per year!

26/07/2018

KVTC is generating it's own products. Fish, crops, vaseline! Proud. Come and join us. We are still open for July intake. Boarding 900,000, day 600,000 plus extra costs 80,000

19/05/2018

And we are also on Kiboberry Ltd page :)

Yesterday 100 students from KVTC visited our farm to see how we grow our raspberries. It was a wonderfull day!

From next week on, 10 students from KVTC will start their internship at our farm. They're going to develop a new organic vegetable garden to provide our kitchen with fresh and healthy vegetables.

18/05/2018

Today we had a wonderful day! We went for a study tour with all students and staffs to Kiboberry Ltd farm, were they produce raspberries. It was amazing to see the whole process from seed to harvest to export. We've learnt a lot, enjoyed even more! Thank you Kiboberry :)

27/04/2018

BBC News Africa

Creative brain!

17-year-old Tanzanian schoolboy 'cleans up' (with his invention of a machine to make bricks from recycled plastic).

21/04/2018

Our maize looks beautiful, the best if you compare to our surrounding schools ;) So today it's time for weeding, asante and well done students!

28/03/2018

And have fun!

28/03/2018
28/03/2018

So proud of our beautiful students! Digging 3 fishponds! Kazi KUBWA. And then even we had fun! It feels so good that we accomplish this together! Asante sana KVTC students. Be and feel proud!!! Safari njema and Pasaka njema, rest and come back in good health!

With love from your Principal Anne Sloot

14/03/2018

Today it is Shamba Day in KVTC. For example we are digging fish ponds, kazi KUBWA !
Other good news is that we have Solar Power in the girl's and boys dormitory and teachers house. Electrical students had a short course in Solar. It is so good to see light shining in the evening!
Everytime we are making steps and we do it together. Proud of our students and teachers!!!

27/01/2018

KVTC's cover photo

30/12/2017

If you want to join KVTC for January intake, please check out the brochure and joining instruction and application form hereunder, and the pictures showing the daily life in KVTC. Karibu in KVTC🙂

Videos (show all)

KVTC is open for new July intake and a new technology: hydroponics! Come and join us!
Curious? Find out more for hydroponics at KVTC! We are open for new students intake
Graduation Day 2018 KVTC :)
And have fun!

Location

Telephone

Address


Umbwe
Moshi
Other Moshi schools & colleges (show all)
OLD (MOSHI HIGH Schoo" OLD (MOSHI HIGH Schoo"
P.o.box 3021
Moshi, MOSHI

STORI ZA KITAA, KUFAHAMIANA NA MARAFIKI, KUPEANA DEAL NA MICHONGO

Little Acorns Day Care & Pre School Little Acorns Day Care & Pre School
Moshi

Little Acorns Pre & Primary School, is a haven thats created for little angels to feel home away from home......... its a place where kids play to learn and learn to play.

Uru Secondary School Uru Secondary School
Manushi
Moshi, 1512

It is an educational Institution that provide Secondary Education to both boys and girls (co-school)

Business School of Africa Business School of Africa
Shanty Town
Moshi, 0000

Business School of Africa (BSA) is a private institution specializing in management training, research and business consulting.

Mkuu High school Mkuu High school
Moshi, +255

Agape Lutheran Junior Seminary Agape Lutheran Junior Seminary
Mamba, Mkolowony
Moshi

“Surely, I have a delightful inheritance.”

Hope International School Hope International School
Kibosho Road
Moshi

Hope International School is a Cambridge International accredited, affordable, high quality, English speaking Christian school catering to Internationals and locals in Moshi, TZ.

Mkombozi Vocational Training & Community Development Centre Mkombozi Vocational Training & Community Development Centre
Tanzania
Moshi, 968

We empower community members to assess their own needs and work towards freedom from economic, social, and political oppression while creating positive social change.

Madede Gabriel Madede Gabriel
Box 3064 Moshi
Moshi

Tanzania Police School - Moshi Tanzania Police School - Moshi
P.O. Box 3024
Moshi

Moshi Police Academy is one among the Tanzania Police Training Academy under NACTE

Twiga Intergrated College Twiga Intergrated College
P.O.BOX 6930
Moshi

Chuo cha Twiga Intergated ni Taasisi ya Elimu iliyopo Mjini Moshi,inayotoa mafunzo katika Ngazi ya Cheti na Diploma katika Fani ya Ualimu wa Chekechea,Utalii,Uongozi wa Hotel,Uongozi wa Watalii,Usimamizi wa Biasharana Lugha za Kigeni

Black Consciousness Movement Black Consciousness Movement
2228
Moshi, 2550

Black Consciousness Movement {BCM} ni taasisi iliyoanzishwa kwa malengo ya kuenzi,kusimamia na kutunza historia ya harakati za watu weusi.