Moshi Institute of Technology

Moshi Institute of Technology Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Moshi Institute of Technology, Education, www. moshiinstitute of technology. com, Moshi.

06/11/2025

Karibu CHUO Cha Moshi institute tupo Moshi mjini Karibu na kanisa la KKKT

Kuhusu chuo cha MIT Ckimesajiliwa na NACTVET kwa namba REG/NACTVET/VTC/0845 kutoa mafunzo ya ufundi kwa kozi za muda mre...
05/06/2025

Kuhusu chuo cha MIT Ckimesajiliwa na NACTVET kwa namba REG/NACTVET/VTC/0845 kutoa mafunzo ya ufundi kwa kozi za muda mrefu katika fani za;

Ususi na urembo (miaka miwili)
Ushonaji wa nguo (miaka miwili)

Na pia chuo kinatoa mafunzo kwa kozi za muda mfupi katika fani za;

Ususi na urembo (miezi 3)
Ushonaji wa nguo na kudizaini (miezi 6)
Upambaji wa kumbi (miezi 2)
Uokaji wa keki (mwezi 1)
Ufumaji wa masweta kwa mashine (miezi 2)
Kudarizi (miezi 2)
Utumiaji kompyuta (miezi 3)
WASILIANA NASI 0678093637/0754469894

TANGAZO TANGAZO πŸ”₯πŸ”₯MOSHI INSTITUTE OF TECHNOLOGY (MIT) - TAWI LA HIMOTUNAKULETEA: πŸ”Ή Fursa za Mafunzo kwa Mwaka mpya 2025!...
10/12/2024

TANGAZO TANGAZO πŸ”₯πŸ”₯

MOSHI INSTITUTE OF TECHNOLOGY (MIT) - TAWI LA HIMO

TUNAKULETEA:

πŸ”Ή Fursa za Mafunzo kwa Mwaka mpya 2025!

KOZI ZA MUDA MREFU

πŸ’» Kompyuta (ICT, Maintenance, Web Design, Graphics)

⚑ Electrical na Electronics

πŸ›  Ufundi wa Vifaa vya Ki-Electronic

πŸ“± Ufundi wa Simu na Vifaa vya Umeme

πŸ“Š Uhasibu kwa Kompyuta

🏨 Tourism na Tour Guide

🏒 Huduma za Ofisi na Hoteli

βœ‚ Ubunifu wa Mitindo na Ushonaji

πŸ“š Ualimu wa Awali

KOZI ZA MUDA MFUPI NA MAALUM

πŸ–₯ Kozi za Msingi za Kompyuta (Awere Course)

🌍 Lugha za Kigeni: Kiingereza, Kifaransa, Kichina, Kijerumani, Kihispania

πŸ“Š QuickBooks na Tally

πŸ“– QT na Resitters

🧾 Special F4 na F6 Program

🌐 Biashara Mtandaoni

FAIDA ZA KUJIFUNZA MIT HIMO

βœ… Ada Nafuu na Malipo kwa Awamu

🏠 Hosteli kwa Wanaotoka Mbali

πŸ›  Mafunzo ya Vitendo kwa Ufanisi Zaidi

πŸŽ“ Viwanja vya Kukuza Vipaji na Ajira

MAHALI TUNAPOPATIKANA

πŸ“ Himo, Barabara ya Marangu karibu na Lake Oil Station Opposite King Size Hotel
πŸ“ž Wasiliana Nasi: 0717 157 640 | 0676 179 225
🌐Tovuti: www.mit.tareo-tz.org
πŸ“§ [email protected]

Tuma Maombi sasa, Fomu zinapatikana Chuoni na kwa njia ya whatsapp 0685907786 au 0756020696
Chagua MIT - Njia ya Mafanikio Yako!

TANGAZO LA NAFASI ZA MAFUNZO YA UFUNDI STADI-COMPUTER NA AJIRA  MOSHI INSTITUTE OF TECHNOLOGY-MIT   NA  K.I.D.T.VTC MOSH...
31/10/2024

TANGAZO LA NAFASI ZA MAFUNZO YA UFUNDI STADI-COMPUTER NA AJIRA
MOSHI INSTITUTE OF TECHNOLOGY-MIT NA K.I.D.T.VTC MOSHI

Habari Njema kwa watanzania wote kuwa CHUO CHA MOSHI INSTITUTE OF TECHNOLOGY tumekuja na ofa maalumu kwa wanafunzi wapya...
30/10/2024

Habari Njema kwa watanzania wote kuwa CHUO CHA MOSHI INSTITUTE OF TECHNOLOGY tumekuja na ofa maalumu kwa wanafunzi wapya wa mwanzo ambapo watapanguziwa ada mpaka 40%. Wahi utume maombi sasa.

WEBSITE: www.mit.tareo-tz.org
CONT: 0756020696/0678093637/0717157640

KARIBU KITUO CHA HUDUMA ZA KIMTANDAO NA INTERNET.TUPO HIMO MJINI –STENDI KUU YA MABASI GOROFA YA 2 WASILANA NASI KWA HUD...
29/10/2024

KARIBU KITUO CHA HUDUMA ZA KIMTANDAO NA INTERNET.TUPO HIMO MJINI –STENDI KUU YA MABASI GOROFA YA 2
WASILANA NASI KWA HUDUMA YEYEOTE NA POPOTE ULIPOβ€”
SIMU:0755767000/0717157640/0676179225

Habari njema kwa wahitimu kidato cha 4 na wanachuo wote kuwa MOSHI INSTITUTE OF TECHNOLOGY tunaendesha mafunzo maalumu k...
28/10/2024

Habari njema kwa wahitimu kidato cha 4 na wanachuo wote kuwa MOSHI INSTITUTE OF TECHNOLOGY tunaendesha mafunzo maalumu k**a ilivyoainishwa kwenye picha hapo chini lakini pia tunafundisha kuandika Cover letter, CV and Resume. Tupigie sasa 0756020696/0685907786

Wahi ujiwekee nafasi yako sasa.Tunapoelekea kuhitimu kidato cha 4 mwaka huu tuendelee kujisajili na mafunzo ya ujuzi na ...
25/10/2024

Wahi ujiwekee nafasi yako sasa.
Tunapoelekea kuhitimu kidato cha 4 mwaka huu tuendelee kujisajili na mafunzo ya ujuzi na ajira kutoka chuo cha MOSHI INSTITUTE OF TECHNOLOGY.
Tupigie kupitia 0756020696/0685907786

OFA OFA !!!!Chuo Cha Moshi Institute of Technology tumekuja na ofa kabambe kwa wahitimu watarajiwa wote wa kidato cha 4....
24/10/2024

OFA OFA !!!!
Chuo Cha Moshi Institute of Technology tumekuja na ofa kabambe kwa wahitimu watarajiwa wote wa kidato cha 4. Kozi utakayochagua utapata punguzo la ada hadi 30% . Wahi uchukue fomu sasa Tupigie 0756020696/0685907786

Usikubali kupitwa na ofa hii, karibu ujiunge na chuo cha Moshi Institute of Technology kwa mafunzo ya ujuzi kwa vitendo....
24/10/2024

Usikubali kupitwa na ofa hii, karibu ujiunge na chuo cha Moshi Institute of Technology kwa mafunzo ya ujuzi kwa vitendo. Tupo Moshi Mjini OPP-UHURU PARK au Tutembelee katika website yetu www.mit.tareo-tz.org au Tupigie moja kwa moja 0756020696/0685907786

Address

Www. Moshiinstitute Of Technology. Com
Moshi

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Moshi Institute of Technology posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The School

Send a message to Moshi Institute of Technology:

Shortcuts

Share

Category