ZAHESU-KCMUCo

ZAHESU-KCMUCo Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from ZAHESU-KCMUCo, Education, Moshi.

12/09/2019
29/08/2018

Epuka vikwaza njia wakati wa jitihada zako kutafuta unachokitafuta. Wakati mwengine tunakuwa na vitu vingi ambavo ni mzigo usiokuwa na faida katika vichwa vyetu zaidi ya kutupunguzia uwezo wa kuweka vitu vya muhimu.
//
Avoid obstacles on your way to meet your objectives. Sometimes, we are occupied with a lot which tend to be not more than a burden in our heads which just reduce our capabilities of keeping important things.

06/12/2017

Are you out there working on achieving what you have dreaming of? If you are not, then you are lost. Nothing comes out easy in this world. Clear your own road to success and eventually you will reach there. // Je, upo sehemu ambayo unafanya kazi kufikia mafanikio ambayo ni ndoto yako? K**a hupo (sehemu iyo), basi umepotea. Hakuna kitu kinapatikana kirahisi duniani. Safisha njia yako mwenyeo na hatimae utafika pale unapopataka.

Every thing begins with an idea, then plans and finally implementation. Even the Kuala Lumpur Twin Towers   began with j...
19/11/2017

Every thing begins with an idea, then plans and finally implementation. Even the Kuala Lumpur Twin Towers began with just a thought. Dream, plan and implement to reach the peak of your thoughts in reality. // Kila kitu kinaanza na fikra, kisha mipango na mwisho utekelezaji. Hata Majumba Mapacha yaliopo Kuala Lumpur yameanza k**a ni fikra tu. Ota, panga na tekeleza kufikia kilele cha mawazo yako katika uhalisia


Fighting a battle you know with a lot of challenges, you must equip yourself with every necessary tool.Message: read wha...
20/10/2017

Fighting a battle you know with a lot of challenges, you must equip yourself with every necessary tool.
Message: read whatever in your reach to be extra equiped in each exam. // Ukienda kupigana vita unavojua vina vikwazo vingi, lazima uchukue nyenzo zote za lazima.
Ujumbe: soma kilichokuwa ndani ya uwezo wako kuwa zaidi ya tayari katika kila mtihani.

Address

Moshi

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when ZAHESU-KCMUCo posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category