Highbrow OPEN School

Highbrow OPEN School Ni shule Bora kwa watahiniwa wa Kujitegemea K**a;
- Resitters & QT (Masomo ya sekondari kwa miaka 2).

24/12/2023
Je, umefeli Darasa la Saba? Kidato cha Nne?Au umeshindwa kumaliza elimu ya Msingi au Sekondary kutokana na Sababu Mbalim...
17/01/2022

Je, umefeli Darasa la Saba? Kidato cha Nne?
Au umeshindwa kumaliza elimu ya Msingi au Sekondary kutokana na Sababu Mbalimbali?
Na unatamani Kupata elimu ya secondary na kufaulu vizuri.
HIGHBROW OPEN SCHOOL
Iliopo MOSHI, MAJENGO K.K.K.T ni Jibu la matamanio yako.
Inatoa Huduma zifuatazo;
• Resitters (wanao rudia mtihani wa kidato cha nne)
• QT (masomo ya secondary kwa miaka miwili (2)
• Tuition kwa Form I hadi Form VI (Science & Arts)
Kwa Maelezo Zaidi piga simu namba 0762 090 097 au 0623 956 884.
Kwa watakao soma Highbrow Open School watapata fursa za kupangwa shule za serikali kwa kidato cha TANO au vyuo vya Kati vya serikali.
Hostel zinapatikana kwa watokao Mbali / wanaohitaji.

Tour at Kilimanjaro Park.
23/11/2021

Tour at Kilimanjaro Park.

Highbrow Open School ni shule Bora kwa Wanafunzi wanaorudia mtihani wa kidato Cha Nne na Sita.Tuition kwa O'level & A'Le...
19/11/2021

Highbrow Open School ni shule Bora kwa Wanafunzi wanaorudia mtihani wa kidato Cha Nne na Sita.
Tuition kwa O'level & A'Level (Arts & Science)
Shule ipo Moshi Mjini - Majengo Kanisani.
Hostel zinapatikana kwa watokao mbali.
kwa Maelezo zaidi Piga Simu namba 0762 090 097 au 0623 956 884

Address

P. O BOX 8507
Moshi
25104

Telephone

+255762090097

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Highbrow OPEN School posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category