
St. Ursula Primary School hatupo nyuma kwenye masuala ya Teknolojia!
Hapa wanafunzi wanajifunza kwa kutumia Tablets...
Kwanini usimlete mwanao St Ursula?? Tunapokea watoto kutoka mikoa yote Tanzania bara. Karibu sana
Tunatoa Elimu bora kwa shule ya msingi, kuanzia Darasa la Awali hadi Darasa la saba, Bweni na kutwa
Operating as usual
St. Ursula Primary School hatupo nyuma kwenye masuala ya Teknolojia!
Hapa wanafunzi wanajifunza kwa kutumia Tablets...
Kwanini usimlete mwanao St Ursula?? Tunapokea watoto kutoka mikoa yote Tanzania bara. Karibu sana
St. Ursula Primary School tunapokea wanafunzi kutoka mikoa yote Tanzania bara
Call us now
+255 753 502 898
St Ursula Primary School, tunaongeza maarifa na ujuzi kwa kutumia vishikwambi (Tablets) pia⚡🤗🤗
Karibu St Ursula Primary ...
Sisi tunasema
Tupigie tukuhudumie🤗🤗🤗
Kwa Elimu na Malezi bora, mlete mwanao St. Ursula Primary School! Ada yetu ni nafuu sana na inalipwa kwa awamu..
St Ursula Primary School inakutakia wewe na familia yako PASAKA NJEMA
Tumeshafungua tayari tangu Tarehe 17 January tayari kwa madomo ya muhula wa kwanza 2022..
Kwa Elimu na malezi bora, karibu St. Ursula Primary School
Simu: 0753 502 898
Matokeo ya Darasa la nne 2021....
Tunamshukuru Mungu kwa hiki tulichopata!
Bado tunaongeza juhudi ili kuwa namba Moja 😊
Karibu sana St. Ursula Primary School kwa Elimu na Malezi bora!
Matokeo ya Darasa la saba mwaka 2021
Mwaka huu 2022 tumedhamiria kuongeza juhudi zaidi ili kupanda nafasi za juu zaidi kwa kutoa Elimu Bora
Una mwanao anasoma shule ya msingi ila unawaza ni shule gani bora umpeleke kwa Elimu na malezi bora?
Usiteseke! Jibu ni St. Ursula Primary School, shule ipo Moshi inapokea wanafunzi kuanzia chekechea mpaka darasa la saba kwa mwaka wa masomo 2022.
Shule ina walimu mahiri, walezi waliobobea na mazingira rafiki kumuwezesha mtoto kukua kitaaluma na kimwili pia!
Zaidi wasiliana nasi kwa namba za simu 0753 502 898
Shule ya Mt. Ursula inakukaribisha wewe mzazi kumleta mwanao kwa ajili ya kupata Elimu na Malezi bora kwa mwaka wa masomo 2022
✔️Tunapokea watoto wenye umri kuanzia miaka 3½ na kuendelea, kuanzia Chekechea mpaka darasa la saba
✔️ Shule ni ya bweni, jinsia zote
✔️Wanaohitaji kuhamia nafasi zipo
✔️Ada yetu ni nafuu sana na inalipwa kwa awamu
✔️Mahali shule ilipo ni Moshi(V), jirani na chuo cha wanyamapori Mweka, ipo Km 15 kutoka Moshi Mjini, ukiwa unatoka mjini unafuata barabara ya KCMC.
Kwa Elimu na malezi, mlete mwanao St. Ursula Primary School
Kwa mawasiliano tupigie kwa +255(0) 753 502 898
Nyote mnakaribishwa sana
Karibu kwenye ukurasa rasmi wa Shule ya Msingi Mt. Ursula iliyopo Wilaya ya Moshi Vijijini, Kibosho Mweka jirani na Chuo cha Wanyamapori Mweka. Simu namba +255 753 502 898. Karibu sana kwa Elimu bora!
Monday | 08:00 - 17:00 |
Tuesday | 08:00 - 17:00 |
Wednesday | 08:00 - 17:00 |
Thursday | 08:00 - 17:00 |
Friday | 08:00 - 17:00 |
The school is owned by Catholic Diocese of Moshi, its 13km from Moshi town to the way going Mweka Wi
Ni shule iliyopo CCM Bomang'ombe inatoa huduma ya Elimu na malezi kwa watoto
This is an Official Facebook Account for Moshi Technical Secondary School Located in Moshi-Tanzania
Ni shule Bora kwa watahiniwa wa Kujitegemea K**a; - Resitters & QT (Masomo ya sekondari kwa miaka 2).
A newly established institution in Moshi Municipality offering unique courses designed to make peopl
Business School of Africa (BSA) is a private institution specializing in management training, resear