12/06/2026
Nafasi hii ni kwa ajili yako, hii ni kwa mtu yeyote. Masomo yataanza tarehe 29.6.2026. Njoo usome kozi zifuatazo.
1. Ususi na urembo: Utasoma mambo yote ya salon kwa vitendo na kwa kiswahili.
Kwa miezi mitatu ada laki 4
Kwa miezi 6 ada laki 6
Kwa miezi 9 ada laki 8.
Ada hizi ni mpaka kumaliza kozi.
Na unalipa kwa awamu 3
2. Ushonaji wa nguo: Utasoma kushona nguo aina zote (isipokuwa shela na suti) kwa ada ya sh. Laki 3 na utasoma kwa miezi 6.
Unaweza kulipa kwa awamu 3.
3. Upambaji wa kumbi za sherehe mbalimbali: Utasoma kwa muda wa miezi miwili na ada ni laki 4 mpaka kumaliza kozi. Unaweza kulipa kwa awamu mbili.
4. Kozi ya kupiga picha, kurekodi video na kuedit: Utasoma kwa:
Miezi mitatu ada laki 4
Miezi 6 ada laki 6
Unaweza kulipa kwa awamu 3
5. Kozi ya kuoka keki
Utasoma kwa mwezi mmoja na ada ni laki 3.
6. Kozi ya kutumia kompyuta (computer application) hii nzuri kwa waliomaliza kidato cha nne au cha sita wanaojiandaa kwenda shule.
Ada ya ofa ni Laki 1 na nusu.
Unasoma kwa miezi mitatu.
7. Kozi ya graphics (ni nzuri kwa wanaotaka kudizain maandiahi, logo, vipeperushi nk)
Ada ni laki 4 na unasoma kwa miezi mitatu.
Hostel (sehemu za kulala zipo, vitanda na magodoro, maji na umeme) pamoja na chakula kwa gharama ndogo ya sh. 100,000 kila mwezi ila kuna punguzo kwa wanaosoma miezi 6 na miezi 6, piga simu 0626 170 041 kupata ofa hiyo.
Chakula ni kizuri, wali kila siku jioni, maandazi na chai, ugali sembe mchana pamoja na mboga za majani.
Vipindi vya dini kila siku jioni kwa dini zote.
WI-FI bure masaa yote.
Life talk kila ijumaa kwa ajili ya kurekebisha mitazamo ya vijana, kuibua na kukuza vipaji.
Baada ya masomo, vyeti vinatolewa kwa kozi zote.
Chuo kipo MKUNDI MWISHO, MOROGORO, hatuna tawi popote Tanzania.
Chuo kimesajiliwa na NACTVET kwa namba REG/NACTVET/1280P
Tupigie 0626 170 041
WhatsApp 0752 698 691
MWENYE UJUZI HALALI NJAA.