07/11/2025
FANI ZENYE FURSA NA PESA NYINGI MTAANI, Unaweza kuajiriwa au ukajiajiri tena kwa mtaji mdogo sana. Sio lazima uwe umesoma sana. Vyeti vinatolewa kwa kozi zote baada ya kuhitmu. Tupo MOROGORO, Chuo kina sehemu za kulala kwa wanaotoka mbali pamoja na CHAKULA BURE. SOMA MPAKA MWISHO UPATE ZAWADI
1. USUSI NA UREMBO: Hapa unafundishwa mambo yote ya salon kuanzia kusuka mitindo yote, make up nk.
KWA MIEZI MITATU
Utalipa ada laki 4 k**a unatokea nyumbani au umepanga mtaani au
Utalipa laki 7 k**a utakaa chuoni jumla ada, kula na kulala mpaka kuhitimu. Unaweza kulipa kwa awamu 3.
KWA MIEZI SITA
Utalipa ada laki 6 k**a unatokea nyumbani au umepanga mtaani au
Utalipa Milioni 1 k**a utakaa chuoni, jumla ada, kula na kulala mpaka kuhitimu. Unaweza kulipa kwa awamu 3.
KWA MWAKA 1 (KOZI NDEFU)
Kozi hii unasoma mambo yote ya salon, kwa vitendo, customer care, Afya na usalama sehemu za kazi, Maadili ya salon, uongozi wa salon, heena, vidonda feki nk.
Utalipa ada laki 8 k**a unatokea nyumbani au umepanga mtaani au
Utalipa Milioni 1 na nusu k**a utakaa chuoni, jumla ada, kula na kulala mpaka kuhitmu. Unaweza kulipa kwa awamu 4. Darasani utasoma kwa miezi 9 na field miezi mitatu.
2. KOZI YA USHONAJI WA NGUO.
Hii utafundishwa kupima, kukata na kushona nguo aina zote, za k**e na za kiume.
KWA MIEZI SITA
Utalipa ada laki 3 k**a unatokea nyumbani au umepanga chumba mtaani na
Utalipa laki 9 k**a utakaa chuoni ambayo ni jumla ada, kula na kulala mpaka kuhitimu. Unaweza kulipa kwa awamu 3.
KWA MIEZI 9 (KOZI NDEFU)
Utafundishwa ushonaji wa nguo zote za k**e na za kiume, kudizaini mavazi na pia Kudarizi mashuka, vitambaa, nk. Pia, customer care, Afya na usalama sehemu za kazi, life skills nk.
Utalipa laki 8 k**a unatokea nyumbani au umepanga chumba mtaani na
Utalipa Milioni 1 na nusu k**a utakaa chuoni ambayo ni jumla ya ada, kula na kulala mpaka kuhitimu. Unaweza kulipa kwa awamu 4.
3. UPIGAJI PICHA NA VIDEO (PHOTO & VIDEO PRODUCTION) MIEZI 3
Hii ni fani nzuri sana. Utalipa sh. Laki 5 tu k**a unatokea nyumbani na
Utalipa laki 8 k**a utakaa chuoni ambayo ni jumla ya ada, kula na kulala mpaka kuhitimu. Unaweza kulipa kwa awamu 3.
4. GRAPHICS DESIGN (LOGO, VIPEPERUSHI, VYETI NK)
Utalipa ada laki 4 k**a unatokea nyumbani na
Utalipa laki 7 k**a utakaa chuoni ambayo ni jumla ya ada, kula na kulala mpaka kuhitimu.
Unaweza kulipa kwa awamu 3.
5. UPAMBAJI WA KUMBI NA KEKI (MIEZI MITATU)
Utalipa jumla ada ya sh. Laki 6 k**a unatokea nyumbani na
Utalipa laki 9 k**a utakaa chuoni ambayo ni jumla ya ada, kula na kulala kwa kozi zote mbili.
6. UPISHI WA KEKI TU (MWEZI MMOJA)
Hapa utafundishwa kupika keki za matukio ya aina zote radha tamu tamu na biskuti laini.
Ada ni laki 3 tu k**a unatokea nyumbani na
Utalipa laki 4 jumla k**a utakaa chuoni ambayo ni ada, kula na kulala jumla.
7. KOZI YA KOMPYUTA (UTUMIAJI WA KOMPYUTA, OFISINI NA STESHENARI)
Ada utalipa 150,000 tu k**a unatokea nyumbani na utalipa 550,000 k**a utakaa chuoni ambayo ni jumla ya ada, kula na kulala mpaka kuhitimu. Utasoma kwa miezi mitatu na unaweza kulipa kwa awamu Tatu.
8. KUPAMBA KUMBI TU
Utalipa ada laki 4 k**a utakaa nyumbani na utalipa laki 6 k**a utakaa chuoni ambayo ni jumla ya ada, kula na kulala. Unalipa kwa awamu mbili.
MASOMO YATAANZA TAREHE 24.11.2025 SAA 2.00 ASUBUHI.
FOMU ZINAPATIKANA KWENYE TOVUTI YA CHUO NA KUPITIA WHATSAP 0752 698 691
KWA MAWASILIANO, PIGA 0626 170 041
Hongera kwa kusoma mpaka mwisho, SHARE MARA 100 UPATE ZAWADI NONO.