Mhonda Teachers' College

Mhonda Teachers' College Official page of Mhonda Teachers' College for news updates, and
information
Kurasa rasmi ya Mhonda CCU kwa taarifa, habari na mambo mbalimbali ya chuo chetu

Government's Teachers Training College located approximately 104 kilometers from Morogoro Town, Tanzania

Follow the Mhonda Teachers' College channel on WhatsApp: https://whatsapp.com/channel/0029Vb6XVFLDOQIOeXXQBh0Z
26/06/2026

Follow the Mhonda Teachers' College channel on WhatsApp: https://whatsapp.com/channel/0029Vb6XVFLDOQIOeXXQBh0Z

Follow Mhonda Teachers' College's WhatsApp channel. Welcome to the official WhatsApp Channel of Mhonda Teachers' College (Chuo cha Ualimu Mhonda)! 🌟
Located in the heart of Morogoro, Tanzania (Turiani, Mvomero District), we're dedicated to shaping tomorrow's educators through quality teacher training programs.
What you'll find here:
Latest admission updates & joining instructions
College events, news & achievements
Tips for aspiring teachers
Inspiring stories from our community
Empower your future! 📚✨ Follow for exclusive insights.
📧 [email protected] | ☎️ +255784454463
.. Join 69 followers for the latest updates.

Fursa Changamkia! Kabla mambo "hayajawa mengi". Walimu kazini na wenye cheti wanaohitaji kusoma stashahada kwa njia ya m...
26/06/2026

Fursa Changamkia! Kabla mambo "hayajawa mengi". Walimu kazini na wenye cheti wanaohitaji kusoma stashahada kwa njia ya masafa

MAELEKEZO Karibu kwenye mfumo wa maombi ya kujiunga na mafunzo ya Stashahada ya Ualimu kwa Njia ya Masafa. Tafadhali jaza taarifa zote kwa usahihi.a4s

14/06/2026
12/06/2026

Tangazo maalumu la udahili

Wizara inakaribisha maombi ya kujiunga na Mafunzo ya Ualimu katika Vyuo
vya serikali na visivyo vya serikali kwa kuzingatia sifa zilizobainishwa katika tangazo
hili.
2. SIFA ZA KUJIUNGA NA MAFUNZO YA UALIMU
a) Sifa za kujiunga na Stashahada ya Ualimu Elimu ya Awali na Msingi (Miaka 02) ni:
(i) Wahitimu wa Kidato cha sita wenye ufaulu wa Daraja la I-III kwa kiwango cha
“Principal Pass” mbili (02); na
(ii) Walimu waliohitimu Mafunzo ya Ualimu Ngazi ya Astashahada (Cheti) ya
Ualimu Elimu ya Awali au Msingi. Aidha waombaji wa mafunzo
watakaochaguliwa, watapangwa kwenye mikondo kulingana na ufaulu wao
katika Mtihani wa Taifa wa Ualimu ngazi ya Astashahada ya Elimu ya Ualimu.
b) Sifa za kujiunga na Stashahada Maalumu ya Ualimu Elimu ya Msingi (Miaka 03) ni
wahitimu wa Kidato cha nne wenye ufaulu wa Daraja la I-III kwa kiwango cha
alama “C” au zaidi katika masomo matatu, mawili kati yake yakiwa ni: Basic
Mathematics, Biology, Chemistry, Physics, Information and Computer
Studies au Computer Science.
c) Sifa za kujiunga na Stashahada ya Ualimu Elimu ya Awali na Msingi kwa njia ya
Masafa (Miaka mitatu (03) hadi minne (04) ni walimu waliohitimu Mafunzo ya
Ualimu Ngazi ya Astashahada (Cheti) ya Ualimu Elimu ya Awali au Msingi.
Vyuo vya Ualimu vyenye nia ya kuendesha Mafunzo ya Ualimu kwa njia ya
masafa vitapaswa kuzingatia masharti ya Mwongozo wa Utoaji wa Mafunzo ya
Stashahada ya Ualimu wa Awali na Msingi kwa njia ya Masafa (Feb.2026)
uliotolewa na Kamishna wa Elimu.

21/03/2026
TangazoKUONGEZWA MUDA DIRISHA LA UDAHILI 2025/26Mkuu wa chuo anawataarifu kuwa Wizara imeongeza muda wa dirisha la udahi...
10/08/2025

Tangazo
KUONGEZWA MUDA DIRISHA LA UDAHILI 2025/26
Mkuu wa chuo anawataarifu kuwa Wizara imeongeza muda wa dirisha la udahili kwa mwaka wa masomo 2025, hivyo anakaribisha maombi ya kujiunga na masomo ya ualimu kwa ngazi ya Stashahada.
Chuo chetu kinatoa kozi ya Stashahada ya Elimu Msingi Mchepuo wa Sayansi ya Jamii kwa Lugha ya Kiswahili kwa mwaka wa kwanza. Mwaka wa pili wanaendelea kwa lugha ya kiingereza.
Mwasiliano 0784454463 Mkuu wa chuo

25/07/2025

TANGAZO
VYETI VYA UALIMU (GATCE) MEI 2025 VIMESHATOKA WANACHUO WAFIKE CHUONI MAPEMA KUCHUKUA VYETI VYAO WAKIWA WAMEKAMILISHA MADENI YAO YOTE KWA WALE WANAO DAIWA NA CHUO.kwa mawasiliano zaidi
Uhasibu; +255653245339.
Udahili,Mitihani na Vyeti:
0763589385, 0784595836,0756841024
Imetolewa 25/07/2025

Please note!
25/07/2025

Please note!

VHGF+4X5, Mhonda Road, Turiani
22/06/2025

VHGF+4X5, Mhonda Road, Turiani

Address

P. O BOX 14 TURIANI
Morogoro
67306

Opening Hours

Monday 08:00 - 15:30
Tuesday 08:00 - 15:30
Wednesday 08:00 - 15:30
Thursday 08:00 - 15:30
Friday 08:00 - 15:30

Telephone

+255687793493

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mhonda Teachers' College posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share