12/03/2026
Usajili kwa watahiniwa wa kujitegemea(PC) unaendelea kwa mitihani ya FTNA & CSEE. Wahi sasa ujisajili kabla ya tar 28/03/2026, kwani hakuna dirisha jingine la usajili baada ya kipindi hiki. Wasiliana nasi kwa maelekezo zaidi kwa 0686386676/0718778424
Karibu sanaš¤