PELUM Tanzania

PELUM Tanzania PELUM Tanzania visions: Organized, vibrant and prosperous smallholder farming communities

PELUM Tanzania Promote learning, networking and advocacy in ecological agriculture . PELUM Tanzania was founded in 1995 and registered as a non Governmental Organization under NGOs’ Act to operate in Tanzania mainland. Members of this network work with smallholder farmers and livestock keepers in promoting sustainable agriculture in Tanzania.

Elimu juu ya utunzaji wa mbegu za asili ikiendelea kutolewa kwa watu mbalimbali wanaotembelea Benki ya Mbegu za Asili Ig...
14/06/2026

Elimu juu ya utunzaji wa mbegu za asili ikiendelea kutolewa kwa watu mbalimbali wanaotembelea Benki ya Mbegu za Asili Iguguno (BEMBEAI), Mkoani Singida

11/06/2026
Community Awareness campaigns on the effects of Climate Change in relation to SGBV, conducted in eight Villages in Same ...
09/06/2026

Community Awareness campaigns on the effects of Climate Change in relation to SGBV, conducted in eight Villages in Same and Mwanga Districts.

Canada’s International Development – Global Affairs CanadaHigh Commission of Canada to TanzaniaSeedChange / Sème l’avenir

Naibu Waziri wa Kilimo Mhe. David Ernest Silinde (Mbunge), amezindua Mkakati wa taifa wa kuendeleza tasnia ya mbegu, 202...
02/06/2026

Naibu Waziri wa Kilimo Mhe. David Ernest Silinde (Mbunge), amezindua Mkakati wa taifa wa kuendeleza tasnia ya mbegu, 2026 – 2030, na Mpango wa uwekezaji katika tasnia ya mbegu.

Uzinduzi huo ulifanyika katika Mkutano wa Wadau wa Mbegu wa mwaka 2026 Jijini Dodoma.

Waziri wa Ardhi Mhe. Dkt. Leonard Akwilapo pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mh. Adam Kigoma Malima,  wametembelea band...
13/05/2026

Waziri wa Ardhi Mhe. Dkt. Leonard Akwilapo pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mh. Adam Kigoma Malima, wametembelea banda la PELUM Tanzania na kuweza kupata maelezo juu ya kazi mbalimbali zinazotekelezwa na PELUM Tanzania kuhusiana na haki za ardhi kwa wakulima na wafugaji wadogo.

Hayo yametokea wakati wa Jukwaa la Wadau wa Matumizi ya Ardhi linaloendelea katika ukumbi wa Cate Hotel- Morogoro linalolobeba kauli mbiu isemayo: Kutoka Mipango Hadi Utekelezaji: Matumizi Bora ya Ardhi Shirikishi na Jumuishi kwa Maendeleo Endelevu Tanzania kuelekea Dira ya Taifa 2026. Jukwaa hilo limeandaliwa na Tume ya Taifa ya Matumizi ya Ardhi.

PELUM Tanzania imewezesha wanufaika (washiriki 10) toka Lindi na Morogoro kushiriki Jukwaa hilo kwa lengo la kujifunza na kubadilishana uzoefu juu ya matumizi endelevu ya ardhi na ustawi wa wakulima wadogo.

Mpaka sasa, PELUM Tanzania imefanya mipango ya matumizi ya ardhi ya vijiji 49 na kufanikiwa kutoa hatimiliki za kimila 21,600, kwenye mikoa ya Dodoma, Iringa, Morogoro, Njombe na Kilimanjaro.

Address

390
Morogoro

Opening Hours

Monday 08:00 - 17:00
Tuesday 08:00 - 17:00
Wednesday 08:00 - 17:00
Thursday 08:00 - 17:00
Friday 08:00 - 17:00

Telephone

+255232613677

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when PELUM Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The School

Send a message to PELUM Tanzania:

Shortcuts

Share