ELIMU Tanzania

ELIMU Tanzania walimu wote na msio walimu mnakaribishwa kuchangia maoni,sio humu tu bali hata huko kwenye mabadiliko ya katiba ili tuamue hatma ya elimu yetuya Tanzania.

10/04/2018

Kila siku jambo la ubora wa elimu unaonekana kuumiza vichwa vya wengi. Nini kifanyike kunusuru elimu yetu?

05/08/2017

Ukombozi wa kifikra huanzia darasani. Elimu ndio chombo pekee cha ukombozi wa mtanzania

19/01/2017

Kuongezeka kwa ufaulu wa mtihani Wa kidato cha pili 2016, nini maoni yako?

31/12/2016

Mmmh hivi ni kweli elimu itolewayo ni bure, nasikia kuna namna fulani fulani michango inapata Baraka. Je hii imepata baraka za wazazi wote????? Maoni yenu wadau

29/11/2016

Wapendwa wadau Wa elimu, nini maoni yako juu ya elimu itolewayo tanzania? Je kuna lolote unalohisi linaenda ndivo sivyo, nini kifanyike?

06/08/2016

Mh Rais John pombe Magufuli atakumbukwa kwa hatua ya kuhakikisha kila mtanzania mwanafunzi anakaa kwenye dawati awapo shuleni.

11/07/2016

Habari za asubuhi wapendwa

04/12/2015

kufutwa kwa ada na michango mashuleni nini mtazamo wako?

22/11/2014

Je tunajali weredi katika uongozi na utoaji Wa Elimu mashuleni?

21/04/2014

Elimu ya Tanzania !!!!

09/08/2012

Hivi mahakama kuzuia mgomo wa walimu, je italeta tija kwa upande wa serikali na wanafunzi?

Address

Manispaa
Morogoro
6067

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when ELIMU Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category