Al-Aqabah Schools

Al-Aqabah Schools Elimu Bora, malezi, taaluma na Dini

Elimu Bora huanza na msingi imara,
16/01/2025

Elimu Bora huanza na msingi imara,

*AL* - *AQABAH* *SECONDARY* *SCHOOL* Karibu katika shule yetu mpya ya sekondari ya *Al* - *Aqabah* iliyoko Mwembesongo m...
04/09/2024

*AL* - *AQABAH* *SECONDARY* *SCHOOL*

Karibu katika shule yetu mpya ya sekondari ya *Al* - *Aqabah* iliyoko Mwembesongo mkabala na shule ya msingi Mafisa A mjini Morogoro

- *Al* - *Aqabah* *Sekondari* ni shule iliyosajiliwa na Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi kwa nambari *S6279* mwaka 2023.

- *Al* - *Aqabah* *Sekondari* ni shule ya kutwa na ni mchanganyiko wa wasichana na wavulana.

- *A* - *Aqabah* *Sekondari* imesheheni walimu wenye sifa ya kitaaluma na maadili.

*Al* - *Aqabah* *Sekondari* ina mazingira mazuri ya mwanafunzi kujifunza mambo mbalimbali.

- *Al* - *Aqabah* *Sekondari* imedhamiria kutoa wasomi walioimarika kitaaluma na kimaadili na kuwa mfano kwa jamii.

- *Al* - *Aqabah* *Sekondari* ada yake ni nafuu sana na inalipwa kwa awamu nne, ikimlenga zaidi mwananchi wa kawaida!-
- *Al* - *Aqabah* *Sekondari* inazo nafasi za kidato cha *KWANZA* *2025* pamoja na kuhamia kidato cha *PILI* .

-Fomu za kujiunga na *Al* - *Aqabah* *Sekondari* zinapatikana shuleni.
*PRE* - *FORM* *ONE* *PROGARAM* :

- *Al* - *Aqabah* *Sekondari* tunakaribisha maombi ya mwanafunzi kujiunga na mafunzo maalum ya kujiandaa na Elimu ya Sekondari.

-Fomu za program hii zinatolewa bure na zinapatikana shuleni.

-Program itakuwa ni ya miezi mitatu kuanzia Septemba 23/2024.

Mwanafunzi atafundishwa masomo yafuatayo:-

-Mathematics
-Physics
-Chemistry
-Biology
-Basic English Course

NB:Masomo ya Kiarabu na Kichina atasoma bure!

-Fulana, madaftari,peni pia vitagawiwa bure!

Unaweza kuwasiliana nasi kwa namba za simu zifuatazo.
*0757* *927* *253* / *0625* *767* *119* / *0689* *505* *550*

Karibuni sana *Al* - *Aqaba* *Sekondari* ni *hazina* *ya* *maarifa* !

*_EDUCATION_* *_WISDOM_* ! *_INDEEDS_* !

Address

Mwembesongo
Morogoro

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Al-Aqabah Schools posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share