Morogoro School of Journalism - MSJ

Morogoro School of Journalism - MSJ MEDIA FOR DEMOCRACY

02/08/2026

OCEAN CHALLENGE NDANI YA MUENDELEZO WA ZIARA YA KIMASOMO KUTOKA CHUO CHA UANDISHI WA HABARI MOROGORO HADI BAGAMOYO

ENDELEA KUTUFUATILIA KATIKA MITANDAO YETU YA KIJAMII

01/08/2026

OCEAN CHALLENGE NDANI ZA ZIARA YA KIMASOMO YA WANAFUNZI KUTOKA CHUO CHA UANDISHI WA HABARI MOROGORO WAKIENDELEA KUJIFUNZA KWA VITENDO NA SASA NI NDANI YA BAGAMOYO

FULL INTERVIEW INAPATIKANA KWENYE YOUTUBE CHANNEL YETU

ENDELEA KUTUFUATILIA KATIKA MITANDAO YETU YA KIJAMII

31/07/2026

WANAFUNZI WA CHUO CHA UANDISHI WA HABARI WAKIJIFUNZA KWA VITENDO NAMNA YA USOMAJI BORA WA HABARI WAKIWA NDANI YA STUDIO ZA Channel ten

ENDELEA KUTUFUATILIA KATIKA MITANDAO YETU YA KIJAMII

WANAFUNZI WA CHUO CHA UANDISHI WA HABARI MOROGORO WAKIJIFUNZA KWA VITENDO NDANI YA STUDIO BORA ZAIDI ZA Channel ten Chan...
31/07/2026

WANAFUNZI WA CHUO CHA UANDISHI WA HABARI MOROGORO WAKIJIFUNZA KWA VITENDO NDANI YA STUDIO BORA ZAIDI ZA Channel ten Channel Ten Plus MAGIC FM

31/07/2026

SAFARI YA ZIARA YA KIMASOMO KUELEKEA BAGAMOYO 2026

29/07/2026

TUTAKATA KIU NDANI YA JIJI LA BAGAMOYO KWENYE
ZIARA YA KIMASOMO ITAKAYOFANYIKA TAREHE 31 JULAI 2026 KUTOKA CHUO CHA UANDISHI WA HABARI MOROGORO

28/07/2026

HIZI NI BAADHI YA ROUTE TUTAKAZOPITA TUKIKATA KIU
NDANI YA ZIARA YA KIMASOMO JIJINI BAGAMOYO

KUELEKEA STUDY TOUR ITAKAYOFANYIKA TAREHE 31 JULAI 2026 SISI MSJ COLLEGE TUNASEMA
28/07/2026

KUELEKEA STUDY TOUR ITAKAYOFANYIKA TAREHE 31 JULAI 2026 SISI MSJ COLLEGE TUNASEMA

22/07/2026

wiki hii katika kipindi Cha hatua kinachoangazia maswala mbalimbali huku lengo kuu likiwa kukupigisha hatua za fikra chanya ,waandaji wetu wameangazia mradi wa taka Kwa thamani.

NB: Vyote hivi kuanzia uzalishaji yaani ,Uhariri pamoja na uwasilishaji ni kazi ya wanafunzi wetu ,na hii hufanyika kila siku kwaajili ya kuwajengea uwezo na hakika wanakwiva nadhani hata wewe unaona

Lakini maoni Yako ni muhimu zaidi kwaajili ya kutujenga maoni kwenye uwanja wa maoni hapo chini

17/07/2026

Broadcasting

Mtangazaji wa Habari=>
Ripota =>
Mhariri=>
Mpiga picha =>
Producer=>

Hawa wote kimsingi ni wanafunzi wa kitivo Cha habari katika chuo chetu ambao wanazisaka ndoto zao za kuja kuwa wanahabari wakubwa siku za usoni.

Kimsingi ni ukiwa katika chuo chetu utĂ jifunza Kwa vitendo namna ya kuandaa ,kutangaza na kutisha matangazo ya television.

Address

Kihonda Mizani
Morogoro

Telephone

+255655699237

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Morogoro School of Journalism - MSJ posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The School

Send a message to Morogoro School of Journalism - MSJ:

Shortcuts

Share

Category