St.David Daycare & Nursery School - Morogoro

St.David Daycare & Nursery School - Morogoro HII NI SHULE YA AWALI ILIYOPO MSAMVU MOROGORO, TANZANIA ILIANZISHWA MWAKA 2007. PIA TUNAFUNDISHA QT, FORM IV RESEATERS. TUPIGIE SIMU NA. 0714 773376.

PRE - FORM ONE, PRE FORM V, ENGLISH COURSE, COMPUTER COURSE, TUITION KWA SHULE ZA MSINGI NA SECONDARY.

Bofya hapo chini kwenye link kujiunga na Group letu la Whatsapp
07/03/2022

Bofya hapo chini kwenye link kujiunga na Group letu la Whatsapp

WhatsApp Group Invite

SHULE ITAFUNGULIWA TAREHE 03/01/2022 Katika Vituo Vyetu Vyote. Mlete Mwanao Katika Kituo Chetu Kilicho Karibu Nawe.Piga ...
29/12/2021

SHULE ITAFUNGULIWA TAREHE 03/01/2022 Katika Vituo Vyetu Vyote.

Mlete Mwanao Katika Kituo Chetu Kilicho Karibu Nawe.

Piga 0714773376 Kupata Maelekezo

BEAUTIFUL MOMENTSWe are proud of you!!!
19/12/2021

BEAUTIFUL MOMENTS

We are proud of you!!!

Happy 14th Graduation on 04th Dec. 2021Mahafali ya 14 iliyofanyika Tarehe 04/12/2021
10/12/2021

Happy 14th Graduation on 04th Dec. 2021

Mahafali ya 14 iliyofanyika Tarehe 04/12/2021

08/12/2021

VIDEO: Mtoto Nahya Isihaka Akisoma kwa Ufasaha Historia ya Shule yetu.



Fomu za Kujiunga na shule zinapatikana Davies Stationary Ndege wengi. Pia zinapatikana Shuleni kwetu.Karibuni Sana  Mwan...
07/12/2021

Fomu za Kujiunga na shule zinapatikana Davies Stationary Ndege wengi. Pia zinapatikana Shuleni kwetu.

Karibuni Sana

Mwanao_2022

Beautiful babies on GraduationWe love our Children
07/12/2021

Beautiful babies on Graduation

We love our Children

11/09/2021

K**a wewe Ni Mwalimu Wa Daycare na Mwenye uzoefu wa Kufundisha English Medium Hapa Morogoro Mjini tuwasiliane 0714773376

Uongozi unawatangazia wahitimu wote wa Darasa la Sana Mwaka huu kuwa Fomu za Kujiunga na Masomo ya Pre fo m One 2021 Zin...
16/08/2021

Uongozi unawatangazia wahitimu wote wa Darasa la Sana Mwaka huu kuwa Fomu za Kujiunga na Masomo ya Pre fo m One 2021 Zinapatikana Bure Shuleni kwetu.

Kwa Mawasiliano zaidi piga 0714 77 33 76

23/07/2021
Karibu KWENYE Mahafali ya 13 Kesho Jumamosi KATIKA Ukumbi wa Mtendaji Kata Mwembesongo.
04/12/2020

Karibu KWENYE Mahafali ya 13 Kesho Jumamosi KATIKA Ukumbi wa Mtendaji Kata Mwembesongo.

Watoto wetu.... Shule yetu.....Mlete mwanao
23/07/2020

Watoto wetu.... Shule yetu.....

Mlete mwanao



Address

Msamvu
Morogoro

Opening Hours

Monday 07:00 - 17:00
Tuesday 07:00 - 17:00
Wednesday 07:00 - 17:00
Thursday 07:00 - 17:00
Friday 07:00 - 17:00
Saturday 07:00 - 15:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when St.David Daycare & Nursery School - Morogoro posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The School

Send a message to St.David Daycare & Nursery School - Morogoro:

Shortcuts

Share

Category