19/01/2015
JE NI KWELI ELIMU NI UFUNGUA WA MAISHA..
habar za zenu waungwana. nimeona leo nilete mada hii ili nipate mawazo tofauti toka kwenu. zamani wazazi walikua wakituhusia mara kwa mara kuwa elimu ndo mkombozi wa maisha yetu. watu wakajitahidi kusom na kusom bt still wengi wao wapo mtaani na mwelekeo wa maisha hawauoni..why still there are profs n doctors bt live a poor life. je elimu haikuwapa funguo. ama tatizo ni nini