Greenpark Nursery

Greenpark Nursery GREENPARK NURSERY
fruits Seedling|Drip irrigation|Seedling trays|Greenhouse|pond liners|Agricultural

Hizi Hapa Faida Kuu Sita 6 za Kutumia Seedling Trays.Seedling Trays ni Tray maalumu zenye matundu  yaliyopangwa kwa idad...
26/01/2024

Hizi Hapa Faida Kuu Sita 6 za Kutumia Seedling Trays.
Seedling Trays ni Tray maalumu zenye matundu yaliyopangwa kwa idadi tofauti tofauti kulingana na Saizi zake. Zipo trey za Matundu 200, 128, 105 na 75.
Faida Ya Sita (6) kati ya hizi Itakushangaza.
1. Matumizi sahihi zaidi ya mbegu.
mbegu iliyowatikwa kwenye seedling trey inakuwa na uhakika wa kuota Kwa zaidi ya asilimia 90.
2. Usawa wa Ukuaji Wa Miche.
Miche inakuwa kwa usawa kwakuwa inapata kiwango sawa Cha Huduma.
3. Sio Rahisi Miche kupata magonjwa Wala wadudu.
Seedling tray inatumia udongo maalumu ulioandaliwa kitaalamu, (peat moss). Hivyo Mbegu Yako ya nyanya, hoho, tango, au Mboga haiwezi kushambuliwa.
4.Ukuwaji Mzuri Wa Mizizi pamoja na Shina.
5. Rahisi Sana Kusafirisha umbali Mrefu bila kuvunjika.
6. Rahisi kupandikiza shambani.
Baada ya Hatua zote Miche inakuwa rahisi kupandikiza shambani kwani unachomoa kwenye matundu ya Trey Ambapo inatoka na udongo wake.
Utapata Trey kwetu kwa Bei ya Jumla ya Tsh 2000 na Reja Reja kwa Tsh 2500 Tu.
Wasiliana nasi Kwa simu.
Mr. Sway: 0752799673
Glory Farm: 0746850361
Tupo Morogoro, Tunakutumia Trey Popote Tanzania.

Miche Bora Ya Matunda Muda Mfupi Inapatikana Kwenye Bustani Yetu Hapa SUA Morogoro. Miche Imebebeshwa Kwahio Inazaa ikiw...
07/01/2024

Miche Bora Ya Matunda Muda Mfupi Inapatikana Kwenye Bustani Yetu Hapa SUA Morogoro.

Miche Imebebeshwa Kwahio Inazaa ikiwa chini Hivyo utapata Matunda ndani ya Muda Mfupi kuanzia miaka Miwili Tu.

Utapata Miche Kwa Bei Ile Ile ya Tsh 2500 Tu.

Utapata Miche Ya Matunda k**a vile:
Parachichi, Embe, Papai, Chungwa, Ndimu, Limao, Chenza, Pasheni, Pera, Stafeli, komamanga, Tope Tope, Minazi na Migomba.
Miti ya Mbao pia ipo.

Unatumiwa Miche popote Tanzania ndani ya masaa 12-48.

Tupigie Leo
Mr. Sway: 0752799673
Glory Farm: 0746850361.

26/10/2023

The Rain Season The Right Time.
Call for Grafted Fruit Seedling
+255-752799673.

*Ni Nini Kinakufanya Usitumie Drip kit kumwagilia Bustani Yako Ya Nyumbani!? (...)**Tumekutengenezea simple Drip Kit Kwa...
11/09/2023

*Ni Nini Kinakufanya Usitumie Drip kit kumwagilia Bustani Yako Ya Nyumbani!? (...)*
*Tumekutengenezea simple Drip Kit Kwaajili ya kumwagilia Bustani yako Ndogo ya Mboga mboga*. *Drip kit hii inachukua eneo Dogo lenye upana wa mita 5 na urefu wa mita 10.* *Kwenye Eneo Hilo utaweza kupanda Miche ya Mboga 200-250.*
*Utatumia maji kwenye jaba la Lita 40-60 tu.*
*Itakusaidia kupata Mavuno Mengi kwenye Eneo Dogo, Maji Kidogo pia Haitakupotezea muda kwani Ina sehemu ya kufunga na kufungulia maji.*
*Hauhitaji fundi wa kuifunga kwani itakufikia popote ikiwa imeunganishwa kila kitu.*
*Ni kwa Tsh Elfu 60 Tu.*
*Tupigie Leo 0752799673*
*Tupo Morogoro Unatumiwa popote ulipo.*

Uko wap? Ulipo Tunakufikia Na kuhakikisha Unapokea Miche Yako Ikiwa na Ubora Ule Ule.Tupe Oder Yako Leo 0752799673
09/09/2023

Uko wap? Ulipo Tunakufikia Na kuhakikisha Unapokea Miche Yako Ikiwa na Ubora Ule Ule.
Tupe Oder Yako Leo 0752799673

Find your Dream Farm. Call us 0752799673 for Better Fruit seedlings.
17/08/2023

Find your Dream Farm.
Call us 0752799673 for Better Fruit seedlings.

we the best on Fruits seedling production
12/08/2023

we the best on Fruits seedling production

In Our Nursery We have Different Varieties of Grafted Mango Seedling such us Tommy Atkins, Red Indian, Kent, Apple mango...
11/08/2023

In Our Nursery We have Different Varieties of Grafted Mango Seedling such us Tommy Atkins, Red Indian, Kent, Apple mango, Dodo, Alphonso, Palma, Keith and Boribo. Call us +255752799673/746850361.

Tunafurahia Sana Mirejesho (Feed back) mnazotupa baada ya Kupata Miche na matunda kwenye Miche Yetu. Tunazidi Kushika Ka...
19/04/2023

Tunafurahia Sana Mirejesho (Feed back) mnazotupa baada ya Kupata Miche na matunda kwenye Miche Yetu.
Tunazidi Kushika Kasi kwa kuhakikisha tunakupa Miche ya Matunda ya Viwango na ya Muda Mfupi. Karibu sana Bustani kwetu Hapa SUA Morogoro Ambapo utapata Mche kwa Bei ya 2500 Tu.
Kwa Wale wa Mikoani Tupigie Leo 0752799673/0746850361.

Here Is Our Nursery where You Can Get Fruit Seedlings.Call us +255-752-7996-73
23/03/2023

Here Is Our Nursery where You Can Get Fruit Seedlings.
Call us +255-752-7996-73

Address

Morogoro Sua
Morogoro

Opening Hours

Monday 08:00 - 17:00
Tuesday 08:00 - 17:00
Wednesday 08:00 - 17:00
Thursday 08:00 - 17:00
Friday 08:00 - 17:00
Saturday 08:00 - 17:00

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Greenpark Nursery posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share