14/01/2026
Sababu Ambazo zaweza kupelekea mtoto chini ya miaka 5 kutoongezeka uzito au kupunguza uzito.
Kutokana na jamii kubwa Huamini moja ya kiashiria Muhimu cha kutazamwa wakati Wa ufuatiliaji Wa Ukuaji Wa Mtoto Ni pekee lakin kuna kiashiria zaidi kimoja. Lengo kubwa kuchua hatua kunusuru Hali ya mtoto katika Ukuaji wenye mwitikio hasi. Viashiria vingine ni k**a
# Uwiano Wa umri Kwa Uzito
# Uwiano Wa Umri Kwa Urefu
# Uwiano Wa Urefu Kwa Uzito
# Uwingi Wa Damu
# Maendeleo katika hatua za ukuaji