TMCS JUCo

TMCS JUCo Huu ni ukurasa maalumu wa Jumuiya ya Wanafunzi wakatoliki wa Chuo Kikuu Kushiriki cha Jordan

viongozi waliochaguliwa tawi la TMCS-JORDAN katika uchaguzi uliofanyika tarehe 29 mei 2022
29/05/2022

viongozi waliochaguliwa tawi la TMCS-JORDAN katika uchaguzi uliofanyika tarehe 29 mei 2022

Hii si ya kukosa AiseeehTMCS JUCo mambo ni 🔥🔥
17/05/2022

Hii si ya kukosa Aiseeeh
TMCS JUCo mambo ni 🔥🔥

Karibuni wote
17/05/2022

Karibuni wote

TMCS ni Jumuiya ya wanafunzi wakatoliki wanaosoma vyuo vikuu na vyuo vya elimu ya kati....Kwa upande wa Jordan Universit...
04/05/2022

TMCS ni Jumuiya ya wanafunzi wakatoliki wanaosoma vyuo vikuu na vyuo vya elimu ya kati....

Kwa upande wa Jordan University College TMCS ipo na inafanya mambo mbalimbali ikiwemo:-
1. Kusali
2. Kufanya usafi wa Kanisa
3. Kushirikiana na jamii mzima ya chuo katika shughuli mbalimbali
4. Kuimba Kwaya nk

Shughuli hizi zote zinafanyika kwa ushirikiano....

Ratiba ya Sala ni siku ya jumatatu mpka ijumaa kuanzia saa 18:45 jioni mpaka saa 19:15 jioni isipokuwa jumamosi ambapo tutakuwa na Sala za Jumuiya kuanzia saa 07:30 Asubuhi.....

Ratiba ya Usafi wa Kanisa ni siku za jumatatu, jumatano, ijumaa kuanzia saa 16:00 jioni isipokuwa jumamosi ambapo usafi unaanza mara baada ya Sala za Jumuiya.....

Karibuni Sana wapendwa...

Kanisa la Kisinodi....
19/04/2022

Kanisa la Kisinodi....

Address

Kola B
Morogoro

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when TMCS JUCo posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The School

Send a message to TMCS JUCo:

Shortcuts

Share