Bora Open School Morogoro

Bora Open School Morogoro Bora Open School is an effective and competitive Open School and Distance Learning for QT&RESISTERS

22/02/2026
ZIJUE PESA ZILIVYO:-1. Pesa haziji kwa wale wanaozitaka, bali kwa wale wanaostahili.‎‎2. Pesa hazikai kwa wale wanaopata...
07/12/2025

ZIJUE PESA ZILIVYO:-

1. Pesa haziji kwa wale wanaozitaka, bali kwa wale wanaostahili.

‎2. Pesa hazikai kwa wale wanaopata nyingi, bali kwa wale wanaozitumia kwa busara.

‎3. Pesa zinaweza kukutumikia, lakini pia zinaweza kukufanya uzitumikie.

‎4. Pesa unazohifadhi wakati wa neema, ndizo zitakazokuokoa wakati wa shida.

‎5. Upendo wa kipofu kwa pesa utakugharimu utu wako.

‎6. Hakuna kiasi cha pesa kitakachowahi kutosha mradi una matamanio na mahitaji.

11/06/2025

HOFU NI BIDHAA ISIYODUMU, SIKU WATU WAKIELIMIKA, WATAKULIPA SAWA NA ULIVYOWAUZIA. MAANA HOFU HUWA HAIDUMU MILELE...

23/04/2025

Zaburi 1:1-3

Mimi ni MTI uliopandwa kando ya mto, JANI langu halinyauki wakati wote. na kila nilifanyalo linafanikiwa..

* Jani langu halitegemei mvua ili lichanue (Sitegemei mshahara ili niishi)

* Ustawi wangu ni wa MSIMU mzima wa mwaka ( jua na masika)

*Siishi kwa mifumo inayowatawala wengine, mimi mfumo wangu ni wa kimbingu.( Neno la Mungu/ Sauti ya Mungu kwangu)

*Sitegemei TUME huru ili kushinda, Mungu atanitangaza mioyoni mwao hata k**a hawataki.

*Jua langu sio jua lao, kwangu ni MWANGAZA wa kuziona fursa kwao ni Moto wa kuwakausha.

*Utafutaji wangu sio k**a wao Mimi NARITHI baraka za Ibrahimu wao huaswa ili kufanikiwa.

"I'M BELONGS TO JESUS"

Adui mkubwa wa mtu, uko kwa mtu anayempotezea muda....
20/04/2025

Adui mkubwa wa mtu, uko kwa mtu anayempotezea muda....

19/04/2025

Kufanya kazi kwenye kiwanda cha sabuni ya maji , hakumfanyi mtu kuwa msafi, Mpaka amechukua hatua ya kuchukua maji na kuamua kuoga...

Yakobo 1:22-25.

USITHUBUTU KUIACHIA KAZI YAKO IKACHUKULIWA NA MTU MWINGINE. FANYA BIDII KWENYE KILA MUNGU ALICHOKUPA KUFANYA.....
15/04/2025

USITHUBUTU KUIACHIA KAZI YAKO IKACHUKULIWA NA MTU MWINGINE. FANYA BIDII KWENYE KILA MUNGU ALICHOKUPA KUFANYA.....

25/03/2025

"Mungu hatalipia safari ambayo hajakutuma"

-Chochote utakachokifanya usipomuhusisha Mungu au k**a sioa mapenzi yake hatahusika kukipambania...

Yeremia 1:(Jeremiah) 5. Kabla sijakuumba katika tumbo nalikujua, na kabla hujatoka tumboni, nalikutakasa; nimekuweka kuw...
27/02/2025

Yeremia 1:
(Jeremiah)

5. Kabla sijakuumba katika tumbo nalikujua, na kabla hujatoka tumboni, nalikutakasa; nimekuweka kuwa nabii wa mataifa.
---------------
"Before I formed you in the womb I knew you; Before you were born I sanctified you; I ordained you a prophet to the nations."

Maiha yetu yamebeba kusudi la Mungu ambalo llazima litatimia tu....

26/02/2025

"The mother of idiots is always pregnant 🤔

You can ignore the bogus electoral system but you cannot ignore the consequences of ignoring the bogus electoral system "

26/02/2025

*Hazina ya utajiri ipo ndani ya kila mtu. Kutambua hili ni hatua.*

Efeso 1:3-5

Address

Morogoro

Telephone

+255717018394

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Bora Open School Morogoro posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The School

Send a message to Bora Open School Morogoro:

Shortcuts

Share

Category