Ney Royal Vocational Training Center - NRVTC

Ney Royal Vocational Training Center - NRVTC Tunapatikana Morogoro mjini nyuma ya Jamuhuri

Chuo cha NEY ROYAL VTC,kilichopo Morogoro mjini na kilichosajiliwa na Veta kwa usajili namba VET/MOR/PR/2021/D/056. Tuna...
24/01/2026

Chuo cha NEY ROYAL VTC,kilichopo Morogoro mjini na kilichosajiliwa na Veta kwa usajili namba VET/MOR/PR/2021/D/056.

Tunaendelea kupokea wanafunzi wa kozi mbalimbali k**a vile.
Ususi na urembo
*utajifunza kusuka mitindo yote ya nywele .
*utajifunza kupamba mabibi harusi
*utajifunza kupana fashion mbalimbali za nywele
*utajifunza utengenezazi wa nywele za Rasi.
*utajifunzwa kutwist na kufanya finger coil kwa nywele natural.
*kutengeneza mawigi na vibanio
*kufunga malemba fashion zote.
*manicure na pedicure
*kusuka mitindo yote ya nywele.

2 Upambaji wa kumbi za sherehe.
*kutengeneza stage
*utajifunza jinsi ya kupamba kwenye kumbi za semina
*kutengeneza mabouque aina mbalimbali
*kutengeneza mataji aina mbali.
*kupamba kumbi aina mbalimbali.
Utajifunza jinsi ya kufunga taa katika stage
*utajifunza jinsi ya kupamba magari
*utajifunza jinsi ya kufunga mabox ya zawadi nk.

4 Upishi wa keki
*utajifunza jinsi ya kupika aina mbalimbali za keki.
*utajifunza jinsi ya kupamba keki
*utajifunza jinsi ya kutengeneza maumbo mbalimbali ya keki nk.

5 Piko
*utajifunza jinsi ya kuchora maua mbalimbali.

6 Utengenezaji wa bidhaa za shanga
*utajifunza kutengeneza vikoi
*utajifunza kutengeneza mapambo mbalimbali kwa kutumia shanga.
*Utajifunza kutengeneza mikoba,viatu nk.

Mafunzo yetu ni ya uwakika na tunaendelea kupokea wanafunzi kutoka nje ya mkoa wa Morogoro na ndani ya mkoa wa Morogoro,
Karibu watakaolipa ada yote kwa pamoja watapata offer ya kujifunza computer bure.

Kwa maelezo zaidi waweza kufika katika Ofisi zetu zilizopo Nyuma ya jengo la Jamuhuri Morogoro Mjin au waweza kupiga simu namba 0758377238,......
NEY ROYAL VTC NI VITENDO ZAIDI KWETU KUJUA NI LAZIMA.

Chuo cha NEY ROYAL VTC,kilichopo Morogoro mjini na kilichosajiliwa na Veta kwa usajili namba VET/MOR/PR/2021/D/056. Tuna...
19/12/2025

Chuo cha NEY ROYAL VTC,kilichopo Morogoro mjini na kilichosajiliwa na Veta kwa usajili namba VET/MOR/PR/2021/D/056.

Tunaendelea kupokea wanafunzi wa kozi mbalimbali k**a vile.
Ususi na urembo
*utajifunza kusuka mitindo yote ya nywele .
*utajifunza kupamba mabibi harusi
*utajifunza kupana fashion mbalimbali za nywele
*utajifunza utengenezazi wa nywele za Rasi.
*utajifunzwa kutwist na kufanya finger coil kwa nywele natural.
*kutengeneza mawigi na vibanio
*kufunga malemba fashion zote.
*manicure na pedicure
*kusuka mitindo yote ya nywele.

2 Upambaji wa kumbi za sherehe.
*kutengeneza stage
*utajifunza jinsi ya kupamba kwenye kumbi za semina
*kutengeneza mabouque aina mbalimbali
*kutengeneza mataji aina mbali.
*kupamba kumbi aina mbalimbali.
Utajifunza jinsi ya kufunga taa katika stage
*utajifunza jinsi ya kupamba magari
*utajifunza jinsi ya kufunga mabox ya zawadi nk.

4 Upishi wa keki
*utajifunza jinsi ya kupika aina mbalimbali za keki.
*utajifunza jinsi ya kupamba keki
*utajifunza jinsi ya kutengeneza maumbo mbalimbali ya keki nk.

5 Piko
*utajifunza jinsi ya kuchora maua mbalimbali.

6 Utengenezaji wa bidhaa za shanga
*utajifunza kutengeneza vikoi
*utajifunza kutengeneza mapambo mbalimbali kwa kutumia shanga.
*Utajifunza kutengeneza mikoba,viatu nk.

Mafunzo yetu ni ya uwakika na tunaendelea kupokea wanafunzi kutoka nje ya mkoa wa Morogoro na ndani ya mkoa wa Morogoro,
Karibu watakaolipa ada yote kwa pamoja watapata offer ya kujifunza computer bure.

Kwa maelezo zaidi waweza kufika katika Ofisi zetu zilizopo mount uluguru au waweza kupiga simu namba 0758377238,......
NEY ROYAL VTC NI VITENDO ZAIDI KWETU KUJUA NI LAZIMA.

Karibu ujifunze kwa vitendo zaidi .πŸ“ž 0758 377238  tunapatikana Morogoro Mjin.
03/10/2025

Karibu ujifunze kwa vitendo zaidi .
πŸ“ž 0758 377238
tunapatikana Morogoro Mjin.

Chuo cha NEY ROYAL VTC,kilichopo karibu na jengo la Mount Uluguru hotel tunaendelea kupokea wanafunzi wapya wa kozi ya u...
02/10/2025

Chuo cha NEY ROYAL VTC,kilichopo karibu na jengo la Mount Uluguru hotel tunaendelea kupokea wanafunzi wapya wa kozi ya ususi na urembo.
karibu ujifunze nasi jinsi ya kubana nywele kwa mitindo mbalimbali.
kwa maelezo zaidi waweza kufika Ofisini kwetu au waweza kupiga simu namba
πŸ“žπŸ“ž 0758 377238

Chuo cha NEY ROYAL VTC, Tunaendelea kupokea wanafunzi wapya wa kozi ya ususi na urembo, Tunapatikana Morogoro mjini, ☎️ ...
18/03/2025

Chuo cha NEY ROYAL VTC,
Tunaendelea kupokea wanafunzi wapya wa kozi ya ususi na urembo,
Tunapatikana Morogoro mjini,

☎️ 0758 377238.
Karibu ujifunze nasi,,,,Ney Royal VTC, ni vitendo zaidi kwetu kujua ni lazima.

singing

Karibu ujifunze kwa vitendo zaidi
11/09/2024

Karibu ujifunze kwa vitendo zaidi

Mi vitendo zaidi
26/07/2024

Mi vitendo zaidi

Wanafunzi wa chuo cha NEY ROYAL VTC, kilichopo Morogoro mjini , wakiwa katika Mafunzo ya uchoraji wa wanja, kwa mara ya ...
26/07/2024

Wanafunzi wa chuo cha NEY ROYAL VTC, kilichopo Morogoro mjini , wakiwa katika Mafunzo ya uchoraji wa wanja, kwa mara ya kwanza katika mafunzo hayo ya make-up.

Na pia tunaendelea kupokea wanafunzi wapya wa Kozi ya ususi na urembo, kwa maelezo zaidi waweza kufika katika ofisi zetu zilizopo morogoro Mjini au waweza kupiga simu namba 0758 377238

Karibu ujifunze nasi, kwetu ni vitendo zaidi kujua ni lazima.

'

11/06/2024

Kazi inaendelea,,,,,,,
karibu ujifunze kwa vitendo zaidi, kwetu kujua ni lazima....kwa maelezo zaidi waweza kupiga simu namba 0758377238,

05/06/2024

Chuo cha NEY ROYAL VTC,,, kilichosajiliwa na Veta kwa usajili namba VET/MOR/PR/2021/D/056.
Tunaendelea kupokea wanafunzi wapya wa kozi za .
Ususi na urembo.
Upambaji wa kumbi za sherehe,
Upishi wa keki,
utengenezaji wa bidhaa za shanga .
pamoja na chereani
Tunapatikan Morogoro mjini,kwa mawasilian zaidi waweza kupiga simu namba 0758377238 au waweza kufika katika ofisi zetu zilizopo opposite na Mount uluguru hotel.
NEY ROYAL VTC , VITENDO ZAIDI.

29/02/2024

Chuo cha NEY ROYAL VTC,kilichosajiliwa na VETA usajili namb VET/MOR/PR/2021/D/056 .tunaendelea kupokea wanafunzi wapya, wa kozi ya ususi na urembo, upambaji wa kumbi za sherehe,upishi wa keki na ufundi chereani ,Karibu ujifunze nafsi.
Kwa mawasiliano zaidi, waweza kufika katika ofisi yetu iliyopo Morogoro mjin,opposite na Mount uluguru hotel au waweza kupiga simu namba 0758377238. NEY ROYAL VTC vitendo zaidi.

.

Address

Morogoro
255

Opening Hours

Monday 07:00 - 16:00
Tuesday 07:00 - 16:00
Wednesday 07:00 - 16:00
Thursday 07:00 - 16:00
Friday 07:00 - 16:00

Telephone

+255758377238

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ney Royal Vocational Training Center - NRVTC posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category